Ulimwenguwaufeminine Frequency, Real Talk.
Jinsi ya kuwa Self Obsessed artwork

Jinsi ya kuwa Self Obsessed

Ulimwenguwaufeminine Frequency, Real Talk.
E216:38
Play episode

Show notes

Kwenye hii episode tunazungumza kuhusu self obsession baby, sio ile ya kujisifu sana au ubinafsi usio na maana. Nazungumzia ile ya kurudi kwako kama mwanamke Feminine. Utajifunza –Maana halisi ya kuwa self-obsessed kama mwanamke – Namna ya kuanza kujichagua bila kujisikia hatia – Kwa nini kujipenda kuanzia ndani kunabadilisha mahusiano, pesa, na maisha kwa ujumla Kama umewahi kujisahau ili upendwe au ukubalike episode hii ni kwa ajili yako.

More from this show

More
Now Playing