


Men are not the problem, Dating Pool isn’t shitty either , you’re not intimidating, nobody is scared of you ...kubaki single isn’t a good option either ..Kama umeshajifanyia kazi i…

Sambamba na ego kuwa chanzo kikubwa cha kukufanya ushindwe kufurahia maisha na mahusiano pia kuna hizi attachment issue ambazo ni chanzo kingine kikubwa cha wewe kuwa mtumwa wa wen…

Nimezungumzia Nini maana ya Seduction energetically na jinsi ya kuwa mwanamke seductive na utajuaje wewe siyo seductive woman.

Pt1, Jinsi ya kuwa na the best sex siyo tu bora sex..

self awareness ndio chanzo cha wewe kuishi vile unavyostahili, kuwa magnetic, irressistable, unforgettable. Let’s dive in.

Kwenye hii episode tunazungumza kuhusu self obsession baby, sio ile ya kujisifu sana au ubinafsi usio na maana. Nazungumzia ile ya kurudi kwako kama mwanamke Feminine. Utajifunza…
