Ulimwenguwaufeminine Frequency, Real Talk. cover art

Podcast

Ulimwenguwaufeminine Frequency, Real Talk.

9 episodesLatest Jul 15, 2026
Recorded in United Republic of TanzaniaEnglishEducationSelf-ImprovementHow ToSociety & CultureRelationshipsHealth & FitnessSexualityMental HealthArtsFashion & Beauty
Karibu kwenye Ulimwenguwaufeminine Frequency, Sehemu sahihi kwa mwanamke kujitambua na kuishi ndani ya nguvu yake ya kike bila uwoga, ku-level up sectors zote ili Kupata unachotaka bila kutumia nguvu na kuepuka kutumiwa Bure. Hapa tunaingia ndani kabisa kwenye kila kitu kinachomuhusu mwanamke ku-level kwenye mahusiano, kimuonekano, hisia zetu, urembo , usafi halisi (ndiyo, mpaka K!), Sex psychology, wanaume na nafasi yao kwetu, Pesa, fitness, na maisha soft kwa mwanamke anayependa kuishi Soft. Welcome home QUEEN!

Episodes

  1. Avoidant & Anxious attachment issues pt2

    Men are not the problem, Dating Pool isn’t shitty either , you’re not intimidating, nobody is scared of you ...kubaki single isn’t a good option either ..Kama umeshajifanyia kazi i…

    E901:11:01
  2. Avoidant & anxious attachment issues, pt1.

    Sambamba na ego kuwa chanzo kikubwa cha kukufanya ushindwe kufurahia maisha na mahusiano pia kuna hizi attachment issue ambazo ni chanzo kingine kikubwa cha wewe kuwa mtumwa wa wen…

    E824:43
  3. Jinsi ya kuwa Seductive Woman na faida zake

    Nimezungumzia Nini maana ya Seduction energetically na jinsi ya kuwa mwanamke seductive na utajuaje wewe siyo seductive woman.

    E601:02:30
  4. The best Sex

    Pt1, Jinsi ya kuwa na the best sex siyo tu bora sex..

    E518:13
  5. Jinsi ya kuanza kujitambua / self-awareness.

    self awareness ndio chanzo cha wewe kuishi vile unavyostahili, kuwa magnetic, irressistable, unforgettable. Let’s dive in.

    E447:33
  6. Jinsi ya ku-Detach bila kuzima hisia.

    Detachment ni your super power , Detachment sio kukimbia hisia zako au kuzizima na kuwasha akili tu, Detachment ni kujipenda bila kushikilia chochote nje yako.Kwenye episode hii tu…

    E325:32
  7. Jinsi ya kuwa Self Obsessed

    Kwenye hii episode tunazungumza kuhusu self obsession baby, sio ile ya kujisifu sana au ubinafsi usio na maana. Nazungumzia ile ya kurudi kwako kama mwanamke Feminine. Utajifunza…

    E216:38
  8. Vitu ambavyo hatuvifanyi in 2026!

    Kwenye hii episode tunazungumzia vitu muhimu sana kuzingatia kwenye huu Mwaka na vitu vya kuachana navyo ili kuwa na the best 2026! kwenye sector zote na lifestyle kwa ujumla, i re…

    E118:45
  9. Unatambua thamani yako?Trailer

    Karibu kwenye The Feminine Frequency , mahali ambapo wanawake wanarudi home kwenye mioyo yao, kwenye feminine energy yao, na kwenye thamani yao halisi. Leo kwenye hii ep ya kwanza…

    05:41
Now Playing