SBS Swahili - SBS Swahili cover art

Podcast

SBS Swahili - SBS Swahili

1,002 episodesLatest 3 days agoNew episode
Recorded in AustraliaAbout AustraliaSwahiliNewsDaily NewsSociety & Culture
Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili

Episodes — page 9

  1. SBS Examines:Nini inaweza fanywa kusimamisha kupandisha bei ya mafuta kwa njia ya unyonyaji?

    Serikali ya Australia imeanzisha hatua kadhaa za kusaidia kupunguza shinikizo la usambazaji wa mafuta linalo endelea. Hatua hizo zinajumuisha kupunguzwa kwa muda kwa ushuru wa maf…

    12:47
  2. Taarifa ya Habari: Chama cha Liberal hakifai fuata mwongozo wa chama cha One Nation Andrew McLachlan asema

    Mbunge wa chama cha Liberal Andrew McLachlan anasema Upinzani wa Mseto haufai kutafuta mwongozo kutoka kwa chama cha One Nation kuhusu maendeleo ya sera zao, huku akiendelea kuping…

    13:22
  3. Yaliyojiri Afrika: Seriklai ya DRC kufungua vituo vitatu vya matibabu ya virusi vya Ebola

    Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imesema Jumatatu itafungua vituo vitatu vya matibabu, kwa ajili ya watu walioambukizwa virusi vya Ebola katika jimbo la Ituri.

    07:20
  4. Labor yatetea mabadiliko ya kodi ya nyumba katika bajeti licha ya ukosoaji katika kura za maoni

    Mjadala unaendelea kuhusu mustakabali wa mfumo wa kodi wa Australia, baada yakutolewa kwa bajejeti ya Shirikisho wiki iliyopita.

    12:37
  5. Taarifa ya Habari:Mshukiwa wa mauaji ya kimbari nchini Rwanda afariki

    Mahakama ya Kimataifa ya uhalifu wa kivita ICC iliyoko mjini The Hague, Uholanzi imesema mshukiwa wa mauaji ya kimbari ya mwaka 1994 nchini Rwanda Felicien Kabuga amefariki dunia.

    06:08
  6. Taarifa ya Habari:Pendekezo la bajeti la upinzani lashtumiwa kuwa na madeni, upungufu wa kifedha, na utengano

    Waziri wa Fedha Jim Chalmers ame ongeza mashambulizi ya chama cha Labor dhidi ya hotuba ya majibu ya bajeti ya Angus Taylor, akimshtumu kiongozi huyo wa Upinzani kwa kutoa pendekez…

    12:49
  7. Australia Yafafanuliwa: Vidokezo vya kupunguza gharama ya petroli |Mafuta Yalengwa

    Bei za petroli na dizeli nchini Australia zinaendelea kukabiliwa na shinikizo wakati huu ambapo vita kati ya Marekani na Iran vina ingia mwezi wa tatu.Bei za petroli na dizeli nchi…

    09:17
  8. Makala leo: Maamuzi magumu kuhusu kupunguzwa kwa NDIS yatawala baada ya kutolewa kwa bajeti ya shirikisho

    Upunguzaji wa fedha katika Mpango wa Kitaifa wa Bima ya Ulemavu ndio chanzo kikubwa zaidi cha uokoaji wa fedha katika bajeti ya serikali shirikisho, jambo linalowaacha watu wengi k…

    11:00
  9. Taarifa ya Habari: Ghana kuwaondoa raia wake 300 wanaoishi Afrika Kusini

    Serikali ya Ghana imetangaza kuwa itawarudisha raia wake 300-wanaoishi nchini Afrika Kusini, kufuatia ongezeko la visa vya wageni kushambuliwa.

    06:06
  10. Yaliyojiri Afrika: Dangote kufungua kiwanda chakusafisha mafuta Kenya

    Mmoja wa matajiri wakubwa barani Afrika Aliko Dangote, ameonesha nia yakuanzisha kiwanda chaku safisha mafuta nchini Kenya.

    07:34
  11. Makala leo:Takwimu mpya zafichua malipo duni ya kimfumo kwa wafanyakazi wahamiaji

    Utafiti mkubwa zaidi nchini Australia kuhusu mazingira ya kazi ya wahamiaji umefichua maelezo ya kutisha ya malipo duni yaliyoenea na ya kimfumo.

    17:01
  12. Taarifa ya Habari:Mweka Hazina asema bajeti ijayo ina malengo, akiba na mageuzi makubwa kuliko kawaida

    Mweka Hazina wa taifa, Jim Chalmers, ameelezea bajeti inayokuja kama ile yenye malengo makubwa zaidi ya serikali ya Labor kufikia sasa, ikiwa na kile anachokiita akiba na mageuzi m…

    13:15
  13. Australia Yafafanuliwa:Je ukotayari kwa msimu wa mafua nchini Australia?

    Kirusi cha Influenza ni aina ya mafua yanayo ambukizwa kwa urahisi mkubwa na huzunguka mwaka mzima, lakini shughuli za mafua huongezeka wakati wa vuli, na maambukizi hufika kilele…

    14:09
  14. Taarifa ya Habari: Ugavi wa nyumba utakuwa muhimu katika bajeti ya shirikisho ya kesho serikali ya sema

    Waziri wa Makazi Clare O'Neil, anasema bajeti ya shirikisho itasaidia sana kushughulikia upungufu wa usambazaji wa makazi.

    08:00
  15. Anne "karibuni tusherehekee utu wa mwanamke, uvumilivu na neema"

    Wanawake wanao ishi katika maeneo ya jiji la Melbourne wame andaliwa tukio maalum Jumapili 10 May, ambayo huadhimishwa kama siku ya kina mama.

    10:51
  16. Taarifa ya Habari:Wanawake watatu wenye uhusiano na kundi la ISIS kufikishwa mahakamani

    Wanawake watatu wa Australia wenye uhusiano na kundi linalojiita Dola la Kiislamu (ISIS) wanatarajiwa kufikishwa mahakamani kwa makosa ya utumwa, uhalifu dhidi ya binadamu, na mash…

    13:35
  17. Yaliyojiri Afrika:Rais Tshisekedi adokeza uwezekano wa kuwania muhula wa tatu

    Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Felix Tshisekedi amedokeza juu ya uwezekano wa kuwania muhula wa tatu, na kuchelewesha uchaguzi mkuu unaotarajiwa katika muda wa miaka miwi…

    07:22
  18. Makala leo:Akiba dhidi ya matumizi: Chalmers anasema bajeti ijayo ni 'yenye uwajibikaji zaidi'

    Mweka Hazina wa Shirikisho Jim Chalmers ameahidi kutoa bajeti inayowajibika zaidi, lakini akiba inayotarajiwa katika kila wizara.

    11:14
  19. Taarifa ya Habari: Serikali yakana shutuma kwamba inawalenga wawekezaji wa "mama na baba" katika bajeti mpya

    Jim Chalmers amepuuza mapendekezo kwamba mabadiliko yanayowezekana kwa matumizi hasi ya vifaa au kodi ya faida ya mtaji yatakuwa ni kuvunja ahadi na wapiga kura.

    15:28
  20. Yaliyojiri Afrika: Viongozi wa Tanzania na Rwanda kuimarisha ushirikiano wa kikanda

    Viongozi wa Tanzania na Rwanda wamekubaliana kuchukua jukumu la kuhakikisha ushirikiano ndani ya Jumuiya ya afrika mashariki unaimarika kwa ajili ya manufaa ya kanda hiyo na watu w…

    06:54
Now Playing