SBS Swahili - SBS Swahili cover art

Podcast

SBS Swahili - SBS Swahili

1,002 episodesLatest 3 days agoNew episode
Recorded in AustraliaAbout AustraliaSwahiliNewsDaily NewsSociety & Culture
Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili

Episodes — page 8

  1. Makala leo: Popovic afanya maamuzi magumu akitangaza kikosi cha Kombe la Dunia cha Socceroos

    Leo asubui Mwalimu wa timu ya taifa ya Australia Tony Popovic ametangaza kikosi chake cha wachezaji 26, cha Socceroos watakao cheza katika Kombe la Dunia la FIFA la 2026.

    08:12
  2. Taarifa ya Habari: Wagonjwa wa Ebola waanza kupona DR Congo

    Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) lilisema kwenye taarifa yake ya Jumapili (Mei 31) kwamba, wagonjwa wengine zaidi wa Ebola wanatazamiwa kupona, hasa pale ugunduzi na matibabu yana…

    06:10
  3. Birori "Tunataka mauaji dhidi ya Wanyamulenge DR Congo yaishe mara moja "

    Wanachama wa jumuiya ya Wanyamulenge wanao ishi Australia, walijumuika mbele ya bunge la taifa mjini Canberra kuelezea kero zao.

    07:04
  4. Christine "baadhi ya wanawake wame acha kazi kwa sababu yakushindwa kuamuka"

    Baadhi ya wanawake wenye miaka 40 na zaidi, hujipata wana koma kupata hedhi. Hali hii huja na changamoto mbali mbali kwa wahusika.

    16:13
  5. Taarifa ya Habari:Chama cha Nationals chataka uchaguzi uitishwe kuhusu hatma ya mageuzi ya kodi ya serikali

    Chama cha Nationals kimemtaka Waziri Mkuu Anthony Albanese kuitisha uchaguzi mkuu, kuhusu mabadiliko hasi ya kodi ya vifaa na faida ya mtaji yaliyoainishwa katika bajeti ya shiriki…

    12:41
  6. Makala Leo:'Kwa ajili yetu, kupitia sisi': Ombi la wenyeji la kusema ukweli na uhusiano wakati wa Wiki ya Maridhiano

    Matukio yanayo ongozwa na jamii yanafanyika kote nchini kuadhimisha Wiki ya Kitaifa ya Maridhiano, ambayo ilianza Mei 27 na ita isha Juni 03.

    11:23
  7. Yaliyojiri Afrika: Wanafunzi 16 waangamia kwenye mkasa wa moto shuleni Kenya

    Wanafunzi 16 wamekufa katika mkasa wa moto, uliotokea katika mabweni ya shule moja ya wasichana katika Kaunti ya Nakuru nchini Kenya.

    06:26
  8. Taarifa ya Habari:Polisi wamfungulia mashtaka ya ugaidi, mwanamke aliyerudi Australia kutoka Syria

    Jeshi la Polisi la Shirikisho la Australia limemkamata mwanamke mmoja, kama sehemu ya uchunguzi unaoendelea chini ya Operesheni Kurrajong.

    05:24
  9. How does political grief affect social cohesion? - SBS Examines: Huzuni yakisiasa inawezaje athiri mshikamano wa kijamii?

    When we're exposed to events or ideologies that go against our own beliefs, we can feel what experts call 'political grief'. Some say it's playing a role in the growing polarisatio…

    12:16
  10. Australia Yafafanuliwa: Bendera yawa Aboriginal: Alama ya Utambulisho na Kuwa Sehemu ya Jamii

    Je, umewahi ona bendera ya rangi nyekundu, nyeusi na njano ikiwa pamoja na bendera ya Australia? Hii ni bendera yawa Aboriginal.

    08:42
  11. Yaliyojiri Afrika: Idadi ya watu wanaoshukiwa kuambukizwa Ebola nchini DRC yafika 900

    Shirika la Afya Duniani, WHO, limesema zaidi ya watu 900 wanashukiwa kuwa wameambukizwa ugonjwa wa Ebola nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

    07:48
  12. Taarifa ya Habari:Waziri Mkuu atuliza hofu kuhusu sheria inayo tarajiwa kwa upunguzaji wa kodi ya mtaji

    Waziri Mkuu Anthony Albanese anasema upunguzaji wa kodi ya faida ya mtaji, hautajumuishwa katika sehemu ya kwanza ya sheria inayotarajiwa kuwasilishwa bungeni katika siku zijazo.

    12:35
  13. SBS Learn Eng Ep 110 Jinsi yaku tafuta viatu vinavyo kufaa

    Je, unajua jinsi yakuomba msaada kwa Kiingereza, kupata viatu vinavyo kufaa.

    11:43
  14. Makala leo: Joto kali lawakaribisha mahujaji Macca kwa Hijja ya mwaka huu

    Ma milioni wame jumuika mjini Mecca Saudi Arabia, kwa hija ya mwaka huu.

    09:22
  15. Taarifa ya Habari: Kasi yaongezwa kuajiri wauguzi waku kabiliana na mlipuko wa Diphtheria

    Mipango inafanywa kupeleka wauguzi zaidi katika Wilaya ya Kaskazini kujibu mlipuko mbaya zaidi wa diphtheria nchini kwa zaidi ya miaka 30. Kesi 230 za maambukizo zimeripotiwa mwak…

    12:26
  16. Makala Leo: WHO yatangaza dharura ya afya duniani baada ya mlipuko wa Ebola DR Congo na Uganda

    Shirika la Afya Duniani limetangaza mlipuko wa Ebola katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Uganda ni dharura ya afya ya umma inayotia wasiwasi kimataifa. WHO inasema mlipuko…

    09:02
  17. SBS Learn Eng Ep111 Jinsi yakupata huduma bomba zako nyumbani zikiwa na tatizo

    Je, unajua jinsi yakuomba msaada kwa Kiingereza bomba zako nyumbani zikipata tatizo? Sikiliza makala yetu yaliyo rekodiwa hapa Bonyeza hapo juu kwa mafunzo ya Kiingereza chepesi,…

    11:04
  18. Taarifa ya Habari:Serikali ya Shirikisho ya tetea jibu lake kwa mlipuko wa Diphtheria

    Waziri wa Afya Mark Butler ametetea utoaji wa kifurushi cha dola milioni 7 kutoka kwa serikali kusaidia kujibu mlipuko wa ugonjwa wa diphtheria ambayo ni maambukizi makubwa ya bakt…

    05:14
  19. What can be done to stop price gouging during the fuel crisis? - SBS Examines:Nini inaweza fanywa kusimamisha kupandisha bei ya mafuta kwa njia ya unyonyaji?

    Fuel prices have spiked, and so have concerns and complaints about alleged price gouging. Are retailers cashing in on the crisis? - Bei za mafuta zimepanda, na wasiwasi pamoja na m…

    12:32
  20. Anne "kina mama wanawezaje sawazisha kuhudumia naku imarisha mali ya familia zao"

    Kuto simamia mali vizuri, kunaweza weka mahusiano na familia nyingi katika hali mbaya. Anne Mureithi hutoa mafunzo kwa familia na jinsi yaku kuza mali zao. Katika mazungumzo maa…

    08:40
Now Playing