
Podcast

Uchaguzi mdogo ujao wa Mei 9 katika eneo bunge la Farrer jimboni New South Wales, unaweza kuwa na athari kubwa kwa siasa za kitaifa.

Mweka Hazina Jim Chalmers amesema bajeti ya shirikisho ya wiki ijayo itakuwa na kikomo chake kikubwa zaidi, wakati akiba ikitarajiwa kuzidi mabadiliko ya matumizi na kodi.

Kuongezeka kwa bei za mafuta kunaweka shinikizo kwenye bajeti za familia kote nchini Australia—na kwa watu wengi, kunabadilisha jinsi wanavyosafiri.

Mbunge wa Upinzani Jonathon Duniam amesema Serikali ya shirikisho lazima iende mbali zaidi ili kuimarisha usalama wa taifa, kufuatia kutolewa kwa ripoti ya muda iliyotolewa na Tume…

Shirika lakutetea hazi za binadam la Amnesty International, limevishtumu vikosi vya usalama vya Uganda kwa kuwauwa raia, kuwakamata kiholela na kuwatesa wafuasi wa upinzani katika…

Ripoti mpya inasema kwamba Australia haina mkakati wa kitaifa wa kudhibiti kuenea kwa akili bandia mahali pa kazi.

Rising fuel prices are putting pressure on household budgets across Australia, and for many people, it’s changing the way they travel. So what can you do to reduce your fuel costs…

Waziri wa Mambo ya Nje Penny Wong anahimiza China kuanza tena usafirishaji wa mafuta ya ndege yanayo letwa Australia, baada ya mkutano na mwenzake wa China.

Waaustralia wameadhimisha Siku ya Anzac kote nchini na katika fukwe ya Gallipoli nchini Uturuki kuwakumbuka waliohudumu katika jeshi.

Baadhi ya nchi za Afrika Mashariki zime anza mazungumzo kuhusu, ujenzi wa kiwanda chakusafisha mafuta katika bandari ya Tanga, nchini Tanzania.

Australia itatumia jumla ya dola bilioni 1.2 kutengeneza mamia ya magari ya kijeshi aina ya Bushmaster, na kuboresha magari yanayo lindwa aina ya Hawkei. Dola milioni 750 zimetengw…

Mazungumzo kati ya Marekani na Iran yamevunjika baada ya Rais wa Marekani Donald Trump, kutangaza Jumapili kwamba anafuta safari ya mjumbe wake kwenda Pakistan.

Uongozi wa Somalilanda, uko tayari kuipa marekani haki za kuchimba madini nakuweka kambi zaki jeshi, kwa ajili yakutambuliwa kama nchi huru.

Je, unajua jinsi yakuzungumza kuhusu gharama ya maisha ukitumia Kiingereza?

Waziri Mkuu anasema wavu wa usalama wa umma utakuwa tayari kwa wakati, kuwasaidia Waaustralia watakao ondolewa kutoka Mpango wa Bima wa Kitaifa ya Ulemavu (NDIS) yenye thamani ya m…

Wiki hii umakini mkubwa umekuwa kwenye Mfumo wa Kitaifa wa Bima ya Watu Wenye Ulemavu (NDIS), serikali ya shirikisho ikitangaza makato ambayo yanakadiriwa yata ondoa makumi ya mael…

Each year Australians gather on ANZAC Day to remember those who served in wars, conflicts and peacekeeping missions. But whose stories are we remembering? Are there stories we don’…

Waziri Mkuu Anthony Albanese amepuuza matarajio ya vikwazo vikali vya mafuta, kabla ya mkutano wa kitaifa wa baraza la mawaziri leo [[Alhamisi Aprili 23]].

Unawezaje hakikisha kwamba msiba uta hudhuriwa na watu wengi? Baada ya yote, jambo la mwisho unalotaka kutokea unapo aga dunia... ni kuondoka bila shamra shamra yoyote.

Kiongozi wa kanisa Katoliki Papa Leo XIV, amekemea vitendo vya rushwa na kuzitaka mamlaka za Angola kumaliza ubaguzi ambao ume endelea kusumbua nchi hiyo tangu kumalizika kwa vita…
