
Podcast

Waziri Mkuu Anthony Albanese amesema serikali ina ahidi kutimiza awamu ya tatu ya makato ya kodi, ambako wafanyakazi watapata makato ya kodi kwa mishahara yao binafsi kuanzia Julai…

Wawili kati ya wagombea wakuu wa upinzani kwenye uchaguzi wa Disemba mwaka jana nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, wameitisha maandamano Jumamosi wakati wa kuapishwa kwa Rais…

Iwapo mtoto wako amepata kiwewe ng'ambo au nchini Australia, iwapo ilitokea hivi karibuni au katika siku za nyuma, pakiwa msaada unao faa, mtoto anaweza pona.

Wakaaji wa Magharibi Australia wame hamasishwa wapitie upya mipango yao ya moto wa vichaka, nyumba mbili zikiwa zimepotezwa kwa mioto inayo kabili eneo la kaskazini mashariki ya mj…

Msimu wa majira ya joto, hu ahidi anga iliyo wazi na hali ya hewa ya joto. Kwa watu wengi, ni geuzi linalo karibishwa baada ya kuvumilia miezi ya baridi.

Shirika la Human Rights Watch, limesema Australia imefeli kuchukua hatua thabiti kwa ajili yaku shughulikia swala la haki za binadam nchini China.

Serikali ya shirikisho imewasilisha mageuzi kadhaa kwa viza za wanafunzi wakimataifa, kama sehemu ya mageuzi makubwa ya uhamiaji yaliyo tangazwa Jumatatu 11 Disemba 2023.

Siku ya Boxing Day nchini Australia, ni mchanganyiko wakipekee wa umuhimu wa utamaduni na biashara.

Kama huwa hau sherehekei Krismasi, unaweza shangaa kuona mtu anaye vaa mavazi ya Santa akitereza juu ya maji katika mwezi wa Disemba.

Msaada wa kifedha wa ziada una tumwa kwa watu walio athiriwa kwa marufiko, wakati juhudi kubwa ya usafi ina anza katika ukanda wa Kaskazini Queensland.

Kiwango cha uharibifu ambao ume achwa nyuma na Kimbunga Jasper, kimeanza onekana pole pole katika kanda ya Kaskazini ya Queensland, ambako wakulima wanasema wamepoteza mazao yenye…

Wagombea wa nyadhifa mbali mbali katika uchaguzi mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo wame maliza kampeni zao, sasa wanasubiri hukumu ya wananchi.

Mvua kubwa na kali ambayo imegonga eneo la Kaskazini Queensland ina anza kupungua ukali ila, ofisi ya utabiri wa hewa imesema onyo za mafuriko bado zina endelea kutumika.

Mamlaka wame pata mamba wa maji ya chumvi mwenye urefu wa 2.5m, ndani ya mji wa Ingham ambao uko Kaskazini Queensland baada ya mto wa eneo hilo kufurika.

Baadhi ya wakaaji katika eneo la Kaskazini Queensland wamelazimika kupanda juu ya paa za nyumba zao, wakisubiri kuokolewa, wakati mvua nzito iliyo sababishwa na kimbunga chaki trop…

Shirika la Maridadi Group, lime andaa tamasha maalum ambako wana mitindo wakike na wakiume watawania taji la Bi na Bw Kenya, Australia, 2023 mjini Melbourne, Victoria.

Kuwasilisha chakula cha asili jikoni mwako kunaweza kuwa sawia moja kwa moja kama kubadilisha, viungo vyako vya kawaida kwa mbadala wa asili.

Bunge la Marekani lime idhinisha rasmi, mkataba muhimu wa AUKUS na Australia.

Serikali ya shirikisho imewasilisha mageuzi kadhaa viza za wanafunzi wakimataifa, kama sehemu ya mageuzi makubwa ya uhamiaji yaliyo tangazwa Jumatatu 11 Disemba.

Serikali ya Labor ina tetea mkakati wayo mpya wa uhamiaji, ikisema uta hakikisha raia wa Australia wanapewa kipaumbele kupata kazi.
