
Podcast

Uchambuzi mpya wa shirika la Regional Australia Institute umepata kuwa bei za nyumba katika maeneo ya kanda, zina fika viwango vya juu nakukaribia bei katika soko za miji.

Mashirika mbali mbali yana endelea kuongeza juhudi kutokomeza ukeketaji, pamoja nakutoa elimu kwa umma kuhusu jambo hilo.

Waziri Mkuu wa Papua New Guinea James Marape, ame hotubia bunge la Australia.

Februari 6 ni siku ya kimataifa ya kutokomeza ukeketaji, mashirika na mamlaka mbali mbali huandaa hafla zakutoa elimu kwa umma kuhusu jambo hilo.

Waziri Mkuu amekosoa upinzani kwa kufeli kuwa na msimamo kwa pendekezo lake la awamu ya tatu ya makato ya kodi, wakati vikao vya bunge la shirikisho vina anza tena.

Ni nadra kupata kundi linalo shughulikia maswala ambayo huwakabili wanaume nchini Australia.

Australia itatuma wajumbe New Zealand kujadili uwezekano wa ushirika wakijeshi katika muungano wa AUKUS.

Wakati mfumo wa huduma ya afya kwa wote ya Australia Medicare ina sherehekea miaka 40, data mpya imeonesha kuwa wagonjwa wana endelea kuepuka kuwaona madaktari kwa sababu ya gharam…

Waziri mkuu ametupilia mbali pendekezo kuwa viwango vya juu vya makato ya kodi kwa wenye mapato ya chini, vita rejesha nyuma kupungua kwa viwango vya riba, nakusababisha hali ngumu…

Kuanza biashara nchini Australia hutoa faida kadhaa.

Djay Daffy ni mmoja wa wasanii ambao wame teka nakutawala sekta ya burudani nchini Kenya.

Wa Australia wame hakikishiwa hapatakuwa mageuzi yatakayo fanywa kwa faida ya kodi ya mwekezaji wa nyumba, hii ni baada ya mageuzi ambayo yalikuwa hayajatarajiwa kwa awamu ya tatu…

Madini ya Coltan yamegunduliwa katika kaunti sita nchini Kenya, uchimbaji wa madini hayo unatarajiwa kuanza hivi karibuni.

New Zealand haija wafuata washirika wake kuzuia uwekezaji wa shirika la Umoja wa Mataifa linalo shutumiwa na Israel kwa kuhusika na mauaji ya Hamas ya 7 Oktoba 2023.

Kuwa mshirika wa wa Australia wa Kwanza, kuna maana ya mtu anaye simama kidete na anaunga mkono maswala yenye umuhimu kwa jumuiya zawa Australia wa Kwanza.

Maelfu ya watu wame jumuika katika sherehe nchini kote zaku adhimisha siku kuu ya Australia. Makundi ya watu wengi yalijumuika katika fukwe ya Bondi mjini Sydney kwa ibada ya alfaj…

Takriban halmashauri za jiji 80 kote nchini Australia, zime amua kubadili tarehe ya sherehe za kila mwaka za viapo vya uraia kutoka Januari 26.

Sekta ya burudani nchini Kenya, ina endelea kushuhudia ujio wa vijana wenye vipaji vya kila aina.

Kuna taarifa serikali ya shirikisho inazingatia uwezekano wakurekebisha mpango wake wa awamu ya tatu ya makato ya kodi, muswada huo utakapo wasilishwa mbele ya baraza la mawaziri h…

First Nations advocates help amplify the voices of Indigenous communities in Australia. Here are some aspects to consider related to advocacy and “allyship” with First Nations comm…
