SBS Swahili - SBS Swahili cover art

Podcast

SBS Swahili - SBS Swahili

1,008 episodesLatest 2 days agoNew episode
Recorded in AustraliaAbout AustraliaSwahiliNewsDaily NewsSociety & Culture
Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili

Episodes — page 43

  1. Tanzania yaomboleza kifo cha Hayati Mwinyi

    Viongozi mbali mbali nchini Tanzania, wana endelea kutoma salamu za kwa jamaa na familia ya Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi, aliyefariki dunia Alhamisi wiki hii.

    07:33
  2. Taarifa ya Habari 27 Februari 2024

    Asilimia 90 au zaidi ya waajiri katika sekta za madini, umeme, maji, huduma za taka, fedha na bima, wana pengo la malipo linalo wapendelea wanaume.

    19:46
  3. Shakilah" lengo letu si kutenganisha familia, ila nikufanya ziwe imara"

    Shirika la Rotary Safe Families hutoa taarifa zaku saidia kuzuia unyanyasaji kupitia miongozo iliyo tafsiriwa pamoja na filamu.

    24:07
  4. Taarifa ya Habari 26 Februari 2024

    Vikwazo vyakifedha vya mtindo wa Magnitsky pamoja na marufuku yakusafiri, yametolewa dhidi ya maafisa saba wa gereza ambao serikali ya Australia ina amini, walishiriki katika unyan…

    06:20
  5. Sergent "Kiptum's death is painful and still haunts us"

    The family of the late marathon world record holder Kelvin Kiptum and members of the Kenyan community have gathered in his rural village to give him his final send off.

    18:56
  6. Prof Chacha "Tunastahili ongeza juhudi kukutanisha Rwanda na DRC ili tupate suluhu ya amani"

    Maelfu ya raia wanao ishi katika mji wa Goma mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, wanahangaika kutokana na upungufu mkubwa wa chakula ndani ya maduka na masoko ya eneo hi…

    06:49
  7. Sergent "Kiptum alikuwa mtu mpole na mcheshi sana"

    Habari za kifo cha mshindi wa rekodi ya dunia ya mbio za marathon za wanaume, Kelvin Kiptum katika ajali ya barabarani, zilitikisa dunia nzima siku chache zilizo pita.

    15:09
  8. Tresor "Lugha ya mama inatusaidia kuendeleza mila yetu"

    Shirika la Umoja wa Mataifa limekuwa liki adhimisha siku ya kimataifa ya lugha ya mama 21 Februari tangu 1999.

    05:38
  9. Taarifa ya Habari 23 Februari 2024

    Muda wastan unao hitajika kuokoa asilimia 20 ya hela zaku nunua nyumba ume pungua.

    18:31
  10. Immaculate "Tuki poteza lugha tuta poteza utamaduni wetu "

    Shirika la Umoja wa Mataifa limekuwa liki adhimisha siku ya kimataifa ya lugha ya mama 21 Februari tangu 1999.

    06:21
  11. Taarifa ya Habari 22 Februari 2024

    Uhaba wa ushindani sokoni waifanya serikali ya shirikisho izindue uchunguzi wa swala hilo.

    07:45
  12. Ushonaji wa jumuiya zawa Australia wa Kwanza una umuhimu gani kitamaduni

    Moja ya mifano ngumu zaidi na ya kisasa ya teknolojia ya Jumuiya zawa Australia wa kwanza na tamaduni, huonekana kupitia kushuka.

    11:37
  13. Taarifa ya Habari 20 Februari 2024

    Waziri Mkuu Anthony Albanese anamshtumu kiongozi wa upinzani wa shirikizo Peter Dutton, kwa kuwahamasisha wasafirishaji haramu wa watu.

    19:00
  14. Wanafunzi walengwa kuwa wasafirishaji wa pesa na wanakabiliwa na madhara makubwa

    Kuna onyo mpya kuhusu matangazo yakufanyia kazi nyumbani, ambayo yanaonekana kuvutia sana au yanayo ahidi maokoto makubwa kwa uwekezaji.

    09:03
  15. Taarifa ya Habari 19 Februari 2024

    Waziri wa mazingira Tanya Plibersek amemshtumu Peter Dutton kwa kuwasaidia wasafirishaji haramu wa watu kufanya matangazo, kwa kudai kuwa serikali ya shirikisho imeregeza hatua za…

    06:50
  16. Taarifa ya Habari 16 Februari 2024

    Upinzani wa shirikisho una wasiwasi kuhusu hali ya uchumi wa Australia, kiwango cha ukosefu wa ajira kikiongezeka hadi 4.1%.

    17:32
  17. Kuwa salama katika jua bila kujali aina ya ngozi yako

    Miongozo ya usalama wa jua imesasishwa kwa mara ya kwanza kujumuisha ushauri kwa aina tofauti za ngozi.

    11:39
  18. What is Lunar New Year, and how is it celebrated in Australia? - Mwaka Mpya wa Lunar ni nini, na unasherehekewaje Australia?

    "Lunar New Year", also known as the "Spring Festival", has become a significant part of Australian culture. The celebration is so popular that Sydney's version is considered the la…

    10:32
  19. Taarifa ya Habari 13 Februari 2024

    Serikali ya shirikisho iko katika hatari yaku kosa kuungwa mkono kwa sera yake muhimu ya nyumba.

    18:56
  20. Vincent afunguka kuhusu sekta ya ucheshi Australia

    Idadi ya wacheshi wenye asili ya Afrika ina endelea kuongezeka nchini Australia.

    07:12
Now Playing