SBS Swahili - SBS Swahili cover art

Podcast

SBS Swahili - SBS Swahili

1,008 episodesLatest 2 days agoNew episode
Recorded in AustraliaAbout AustraliaSwahiliNewsDaily NewsSociety & Culture
Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili

Episodes — page 40

  1. Taarifa ya Habari 17 Mei 2024

    Kupungua kwa urasimu, bajeti iliyo rahisishwa, na kupungua kwa uhamiaji ni sehemu muhimu ya mpango wa chama cha mseto kwa Australia.

    17:47
  2. Bajeti yashughulikia maswala muhimu kwa jumuiya zatamaduni nyingi ila maelezo ya ziada yana hitajika

    Jamii za wahamiaji na wakimbizi zimekaribisha mipango katika bajeti ya shirikisho ila, wame sema maelezo zaidi yanahitajika kuhusu mikakati iliyo lengwa kwa wanachama wa jumuiya.

    11:00
  3. Jinsi ya kuomba kazi

    Unapo ona tangazo la kazi linalo kuvutia, kuelewa hatua zinazo fuata ni muhimu.

    11:08
  4. Namna yakupata leseni yakuendesha gari

    Kuendesha gari hutoa uhuru na huongeza fursa zakupata kazi ila, shughuli hiyo huja pia na wajibu mkubwa waku hakikisha usalama barabarani.

    12:40
  5. Taarifa ya Habari 14 Mei 2024

    Mweka hazina Jim Chalmers amesisitiza bajeti atakayo tangaza inahusu kuweka shinikizo yakupunguza mfumuko wa bei.

    17:51
  6. Watu saba wauawa kwa shambulizi la bomu Mkoani Kalehe DRC

    Hali ya usalama inaendelea kuwa mbaya Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

    09:38
  7. Taarifa ya Habari 10 Mei 2024

    Mamia yawa fungwa wa uhamiaji wanaweza achiwa huru kutegemea na hukumu ya mahakama kuu, inayo tarajiwa kutolewa leo kwa changamoto yakisheria iliyo wasilishwa na muomba hifadhi kut…

    18:57
  8. Uchunguzi wa Seneti waunga mkono mswada tata wa uhamisho

    Uchunguzi wa Seneti umependekeza serikali ipitishe mswado wake wenye utata, utakao fanya iwe rahisi kuwafukuza nchini walio ndani ya vizuizi vya uhamiaji.

    08:00
  9. Taarifa ya Habari 9 Mei 2024

    Serikali ya Australia ita imarisha miradi ya gesi katika hatua yakutoa suluhu kwa ongezeko la mahitaji pamoja nakusaidia mchakato wakuhamia kwa uzalishaji sufuri kufikia 2050, hoja…

    06:49
  10. Bunge la Kenya lapiga kura yakutokuwa na imani na waziri wa kilimo na mifugo

    Kamati maalum ya bunge la Kenya, imesikiza wasilisho la Mh Jack Wamboka ambaye anataka waziri wa kilimo na mifugo wa Kenya atimuliwe kazini.

    06:14
  11. Taarifa ya Habari 7 Mei 2024

    Serikali imesema ita kuwa na akiba ya bilioni moja ya dola katika bajeti ya shirikisho ijayo, kwa kukata matumizi ya huduma ya umma ya wakandarasi, washauri na wafanyakazi wengine…

    20:17
  12. Understanding the profound connections First Nations have with the land - Kuelewa uhusiano wa kina wa Mataifa ya Kwanza na ardhi

    The land holds a profound spiritual significance for Aboriginal and Torres Strait Islander peoples, intricately intertwined with their identity, belonging, and way of life. - Ardhi…

    08:35
  13. Charlie "Mashabiki wa Bien watarajie bonge la tamasha"

    Wakaaji wa Sydney wana jiandaa kuhudhuria moja ya tamasha kubwa ya mwaka wa 2024, inayo andaliwa na kampuni ya Beast from the East Entertainment.

    10:44
  14. Afrika Kusini ya adhimisha mwisho wa kumbukumbu ya apartheid wakati wa ongezeko ya kutoridhika nchini humo

    Africa Kusini ina adhimisha miaka 30 tangu uchaguzi wakwanza wayo waki demokrasia ambapo kila raia wa Afrika Kusini aliweza piga kura.

    06:42
  15. Taarifa ya Habari 3 Mei 2024

    Waziri Mkuu Anthony Albanese amesema waendesha mashtaka wa shirikisho walifanya uamuzi mubaya kuruhusu dhamana kwa mfungwa wa uhamiaji, ambaye baadae anadaiwa kumshambulia bibi mmo…

    17:50
  16. MCA Tricky "Nili ingia katika ucheshi kujibamba"

    MCA Tricky ni mmoja wa wacheshi maarufu nchini Kenya, kazi zake zina endelea kuwavutia mashabiki wengi.

    08:16
  17. Taarifa ya Habari 30 Aprili 2024

    Ripoti mpya kuhusu mauaji nchini Australia, imeonesha kuwa idadi ya wanawake ambao wame uawa na wapenzi wao wa sasa au wazamani, imeongezeka kwa asilimia 28 mwaka huu hadi Juni 202…

    20:42
  18. Mafuriko yasababisha maafa makubwa Afrika Mashariki

    Zaidi ya watu 130,000 wame hamishwa na mafuriko nchini Kenya wakati idadi ya vifo ina endelea kuongezeka tena baada ya bwawa kuvunjika Jumatatu.

    07:24
  19. Taarifa ya Habari 29 April 2024

    Mratibu wa maandamano yakupinga unyanyasaji dhidi ya wanawake mjini Canberra, amesema waziri mkuu alidanganya kuhusu, kuto ruhusiwa kuzungumza katika tukio hilo.

    07:01
  20. Viongozi wadini, Waziri Mkuu waomba uwepo wa heshima na maelewano katika jamii

    Viongozi kutoka jumuiya za wayahudi, waislamu na wakristo mjini Sydney wame kemea kwa pamoja vurugu na maneno yakugawanya ambayo yame ibuka kufuatia matukio mawili ya shambulizi ya…

    10:32
Now Playing