SBS Swahili - SBS Swahili cover art

Podcast

SBS Swahili - SBS Swahili

1,008 episodesLatest 2 days agoNew episode
Recorded in AustraliaAbout AustraliaSwahiliNewsDaily NewsSociety & Culture
Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili

Episodes — page 39

  1. Taarifa ya Habari 7 Juni 2024

    Waziri wa serikali ya shirikisho Bill Shorten amesema hawezi sema kama chama cha Labor kita weka chama cha Greens mwisho, katika kadi zao za maelezo ya jinsi yakupiga kura katika u…

    20:58
  2. Kipsang "niki imba vilabuni naimbia watu wa Mungu"

    Kipsang ni msanii mzawa wa Kenya anaye tunga nyimbo naku imba katika lugha yaki Kalenjin.

    10:56
  3. Wafanyakazi wapato la chini kuongezewa $33 katika mishahara yao kila wiki

    Ma milioni yawa Australia watapata nyongeza ya asilimia 3.75 kwa mshahara wao.

    08:55
  4. Taarifa ya Habari 4 Juni 2024

    Serikali ya shirikisho inakana ukosefu wa ukuaji wa tija kwa zamu yake ambayo imewagharimu wafanyakazi wapato la chini nyongeza yajuu zaidi ya mshahara. Tume ya Haki ya Kazi ime in…

    21:20
  5. ANC yahamasisha umoja baada yakupoteza wingi bungeni, ila yataka kusalia madarakani

    Matokeo ya mwisho ya uchaguzi mkuu wa Afrika Kusini yame thibitisha mabadiliko makubwa katika nyanja ya kisiasa ya nchi hiyo.

    08:14
  6. Taarifa ya Habari 3 Juni 2024

    Mamilioni yawa Australia wata pata nyongeza ya asilimia 3.75 kwa mishahara yao, baada ya tume haki ya kazi kutoa uamuzi wake wa tathmini ya mwaka ya malipo.

    07:15
  7. Wasiwasi wabadilika kuhusu kufukuzwa nchini kwa raia wa New Zealand

    Serikali ya Australia imesema ina uhakika inaweza simamia uhusiano wayo na New Zealand, licha ya wasiwasi ulio zuliwa kuhusu mageuzi kwa sera inayo julikana kama Direction 99.

    08:08
  8. Taarifa ya Habari 31 Mei 2024

    Donald Trump amekuwa rais wa kwanza wa zamani wa Marekani kupatwa na hatai ya uhalifu, baada ya jopo la mahakama la wajumbe 12 mjini New York kumpata na hatia ya udanganyifu wa hat…

    19:18
  9. Vita vya Australia vilikuwa vipi na kwa nini historia haija vitambua?

    The Frontier Wars ni neno linalo tumiwa kuelezea zaidi ya miaka 100 ya migogoro ya vurugu kati ya wakoloni nawatu wa asili wa Australia, vilivyo tokea wakati wangereza walikuwa wak…

    15:10
  10. Wa Australia wa Mataifa ya Kwanza wasema 'Sasa zaidi ya Wakati wowote' upatanisho wa kweli unahitajika

    Hii ni wiki ya Upatanisho, ina adhimisha tarehe mbili muhimu katika historia ya Australia kwa haki zawatu wa Mataifa ya Kwanza.

    09:07
  11. Taarifa ya Habari 28 Mei 2024

    Waziri wa maswala ya kigeni wa Australia Penny Wong amesema shambulizi baya la anga la Israel katika mji wa Rafah, linatisha na halikubaliki. Takriban watu 45 wame uawa baada ya sh…

    20:23
  12. Vital Kamerhe achaguliwa kuwa spika mpya wa bunge la DRC

    Wabunge wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, wamemchagua Vital Kamerhe, ambaye nyumba yake ilishambuliwa siku ya Jumapili, kuwa spika mpya.

    06:13
  13. Taarifa ya Habari 24 Mei 2024

    Ndege mbili za ziada zitatumika kutoka New Caledonia, serikali ya Australia ikiendeleza juhudi zakuwaleta nyumbani raia ambao wame kwama huko. Safari hizo za ndege ambazo zimefadhi…

    15:57
  14. Kikomo cha umri wa viza 'isiyo haki' kuwalazimisha wanafunzi wakimataifa wa PhD kuondoka Australia

    Kikomo kipya kwenye visa maarufu ya wahitimu kina waacha wanafunzi wengi wakimataifa wa PhD nchini Australia waki kabiliwa na siku za usoni zisizo na uhakika.

    07:42
  15. Taarifa ya Habari 23 Mei 2024

    Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron yuko katika Kisiwa cha Pasifiki cha New Caledonia, kwa mazungumzo yenye lengo laku geuza ukurasa kwa ghasia mbaya iliyo chochewa na mageuzi ya ucha…

    06:26
  16. What were the Australian Wars and why is history not acknowledged? - Vita vya Australia vilikuwa vigani na kwa nini historia haivitambui?

    The Frontier Wars is a term often used to describe the more than 100 years of violent conflicts between colonial settlers and the Indigenous peoples that occurred during the Britis…

    11:28
  17. Taarifa ya Habari 21 Mei 2024

    Upinzani wa shirikisho umesema serikali haina "mpango wa kuaminika", kulinda mtandao wa umeme wa Australia kupitia kuhamia kwa nishati mbadala.

    18:16
  18. Charlie "Tamasha ya Sawa Sawa ni jukwaa la watu kuonesha vipaji na biashara zao"

    Wana jumuiya wa Afrika wanao ishi mjini Sydney wamepata sababu yakufanya mtoko, ambao unajumuisha kila mwanachama wa familia.

    09:03
  19. Taarifa ya Habari 20 Mei 2024

    Serikali ya Albanese imetetea hatua zakutoa afueni kwa gharama ya maisha, licha ya bajeti ya shirikisho kuipa serikali jeki ndogo katika kura za maoni.

    08:27
  20. Ukatili dhidi ya wanawake waiweka serikali ya Tanzania chini ya shinikizo

    Watetezi wa haki za binadamu nchini Tanzania wameitaka serikali ya nchi hiyo kubuni sheria maalum kwa ajili ya kupambana na ukatili dhidi ya wanawake na wasichana kutokana na kuwep…

    07:23
Now Playing