SBS Swahili - SBS Swahili cover art

Podcast

SBS Swahili - SBS Swahili

1,008 episodesLatest 2 days agoNew episode
Recorded in AustraliaAbout AustraliaSwahiliNewsDaily NewsSociety & Culture
Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili

Episodes — page 41

  1. Taarifa ya Habari 26 Aprili 2024

    Aliyekuwa mu Australia wa mwaka wa zamani Rosie Batty ame ihamasisha serikali ya New South Wales izingatie kuanzisha tume yakifalme kwa ukatili wa nyumbani.

    17:12
  2. Maveterani washerehekewa naku kumbukwa katika siku ya ANZAC

    Maelfu ya watu walijumuika kote nchini Australia, na ng’ambo kutambua siku ya ANZAC.

    10:51
  3. Utofauti wa tamaduni zawa Anzac wa Australia

    Kila mwaka tarehe 25 Aprili, huwa tuna adhimisha Anzac Day, ni siku ambapo tunawakumbuka walio hudumu nakufia vitani.

    13:17
  4. Shakilah afunguka kuhusu huduma za Rotary Safe Families Victoria

    Shirika la Rotary Safe Families, hutoa taarifa zaku saidia kuzuia unyanyasaji kupitia miongozo iliyo tafsiriwa pamoja na filamu.

    09:12
  5. Taarifa ya Habari 23 Aprili 2024

    Waziri Mkuu amewasifu wanajeshi wa Australia walio kuwa sehemu ya historia ya jeshi, katika eneo la Kokoda Track anapo jiandaa kutembea katika nyayo zamagwiji.

    18:03
  6. Jinsi yakupata leseni yakuendesha gari Australia

    Kuendesha gari hutoa uhuru na huongeza fursa zakupata kazi ila, shughuli hiyo huja pia na wajibu mkubwa waku hakikisha usalama barabarani.

    12:45
  7. Nicky "kupitia Taunet Nelel vijana wengi wame anza kujijenga kimaisha"

    Wakenya wanao ishi Australia watajumuika katika jiji la Dandenong jimboni Victoria, kuhudhuria hafla la shirika la Taunet Nelel.

    12:17
  8. Taarifa ya Habari 19 Aprili 2024

    Waziri Mkuu ame sisitiza umuhimu wa mshikamano wakijamii nchini Australia, kufuatia uchunguzi kwa shambulizi lakigaidi la kudungwa kisu ndani ya kanisa wiki hii.

    15:34
  9. Kuelewa haki yakuandamana Australia na usawa kati ya uhuru wakujieleza na majukumu yakijamii

    Karibu kila wiki wa Australia walio na shauku huwa nje mitaani, wakipaza sauti zao waki andamana kuhusu maswala muhimu.

    11:17
  10. Taarifa ya Habari 18 Aprili 2024

    Askofu aliye dungwa kisu wakati wa ibada iliyo kuwa ikipeperushwa mubashara, amezungumza kwa mara ya kwanza tangu shambulizi hilo linalo shukiwa kuwa lakigaidi, akisema ame msamehe…

    07:39
  11. Kuelewa sheria za vizuizi vya watoto pamoja na mazoezi bora

    Hata kama Australia ina fahari yakuwa na moja ya viwango vya juu zaidi vya matumizi ya vizuizi vya watoto ndani ya gari, watoto wengi bado wana safiri ndani ya magari katika hali i…

    12:22
  12. Taarifa ya Habari 15 Aprili 2024

    Polisi wamesema mwanaume aliye uwa watu sita kwa kuwadunga kisu ndani ya soko la Westfield Bondi Junction, ali waepuka wanaume kimakusudi nakuwalenga wanawake na watoto.

    06:24
  13. Polisi wamtambua mshambuliaji katika mauaji ya watu wengi ambako watu sita walifariki

    Jeshi la polisi la New South Wales lime anza uchunguzi kwa shambulizi la kisu, lililo wauwa watu sita ndani ya soko kubwa katika vitongoji vya mashariki ya Sydney.

    07:58
  14. Taarifa ya Habari 12 Aprili 2024

    Kiongozi wa upinzani Peter Dutton ametetea kauli yake, yakufananisha umuhimu kwa jamii maandamano yanayo unga mkono wapalestina katika jengo la Sydney Opera House na mauaji ya hala…

    16:56
  15. Jinsi yakujiandaa kwa dhoruba na mafuriko Australia

    Katika muongo ulio pita, Australia imepitia matukio mabaya sana ya mafuriko katika historia ya hivi karibuni. Kati ya miaka ya 2020-2022, sehemu kubwa zime zama chini ya maji mara…

    14:13
  16. Taarifa ya Habari 9 Aprili 2024

    Shirika la ustawi wa jamii lina omba pawe ongezeko kwa malipo ya hifadhi ya jamii baada ya utafiti wayo mpya kupata kuwa, wa Australia wanao pokea malipo ya ustawi wanakabiliana na…

    15:22
  17. Taarifa ya Habari 8 Aprili 2024

    Kiongozi wa chama cha Nationals David Littleproud amesema anaunga mkono adhabu kwa tabia mbaya za maduka makubwa ila, ameongezea kuwa mabadiliko hayo hayata jiri haraka yakutosha k…

    08:16
  18. Mkurugenzi afunguka kuhusu ziara ya Australia

    Abel Mutua amejitengenezea nafasi yakipekee katika sekta ya sanaa Afrika Mashariki.

    17:02
  19. Mgomo wamadaktari wa tikisa sekta ya matibabu Kenya

    Muungano wa Madaktari, Wafamasia na Madaktari wa Meno nchini Kenya (KMPDU) ulizindua mgomo wa kitaifa ukitaka mazingira bora ya kazi na nyongeza ya mishahara Machi 13.

    06:47
  20. Taarifa ya Habari 22 Machi 2024

    Waziri wa Ulinzi Richard Marles amesema uchumi utafaidi kupitia makubaliano yakupiga jeki uzalishaji wa manowari yanayo tumia nishati ya nyuklia ya Uingereza kama sehemu ya mkataba…

    15:58
Now Playing