SBS Swahili - SBS Swahili cover art

Podcast

SBS Swahili - SBS Swahili

1,008 episodesLatest 2 days agoNew episode
Recorded in AustraliaAbout AustraliaSwahiliNewsDaily NewsSociety & Culture
Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili

Episodes — page 38

  1. Kinyua "tumekuja kuomboleza walio uawa katika maandamano Kenya"

    Wakenya wanao ishi Canberra, Australia walijumuika mbele ya ubalozi wa nchi yao kuonesha mshikamano na vijana wenzao.

    12:12
  2. Taarifa ya Habari 28 Juni 2024

    Vyama vya wafanyakazi wanaunga mkono haki ya wabunge wa chama cha Labor kuvuka sakafu na kupiga kura dhidi ya msimamo wa chama, wakisema hatua hiyo ina imarisha vuguvugu la Labor.

    17:48
  3. Indigenous art: Connection to Country and a window to the past - Sanaa ya watu wa Asili: Muunganisho wa Nchi na dirisha kwa siku za nyuma

    Embracing their oral traditions, Aboriginal and Torres Strait Islander peoples have used art as a medium to pass down their cultural stories, spiritual beliefs, and essential knowl…

    09:36
  4. Taarifa ya Habari 27 Juni 2024

    Mbunge wa chama cha Liberal Simon Birmingham amesema amefurahi kuona masaibu yakisheria ya Julian Assange yame isha ila, ilikuwa makosa kwa waziri mkuu kumpigia simu Bw Assange aki…

    06:40
  5. Makena "Viongozi wetu wajifunze kwa yaliyo fanyika Sri Lanka"

    Maandamano dhidi ya muswada wa fedha wa 2024 nchini Kenya hatimae yamefika Australia.

    19:34
  6. Taarifa ya habari 25 Juni 2024

    Baadhi ya wabunge huru wanataka makaazi yawekwe kuwa haki ya msingi ya binadamu nchini Australia.

    19:58
  7. Wahitimu wamatibabu wakimataifa wa elezea kero za sifa zao kutambuliwa Australia

    Takwimu mpya zina onesha ongezeko kwa idadi yama daktari, wauguzi na wataalamu wa afya wanao fanya kazi katika mifumo ya huduma ya afya nchini Australia.

    09:20
  8. Taarifa ya Habari 21 Juni 2024

    Australia ime ahidi kuendelea kuwasaidia wakaaji wa Papua New Guinea ambao wanapitia wakati mgumu kumudu maisha baada ya kukabiliwa kwa maporomoko mabaya ya ardhi mnamo Mei.

    19:29
  9. Taarifa ya Habari 20 Juni 2024

    Mwanaume mmoja amefikishwa mahakani leo kwa sababu ya dai la tisho la bomu lililo funga sehemu za mji wa Melbourne jana Jumatano mchana.

    07:18
  10. Patrick 'nimuhimu kwa wakimbizi kuja Australia wakiwa na leseni yakuendesha gari'

    Maadhimisho ya wiki yawakimbizi yalifanyika kote nchini Australia.

    17:59
  11. Taarifa ya Habari 18 Juni 2024

    Waziri mkuu wa China Li Qiang ameondoka Canberra baada ya siku yakihistoria ya mazungumzo yakidiplomasia ndani ya bunge la taifa.

    17:37
  12. Haki zangu zakidini zina lindwaje kazini?

    Nchini Australia, sheria dhidi ya ubaguzi katika sehemu za kazi kwa misingi yakidini hutofautiana katika mamlaka zote.

    13:43
  13. Taarifa ya Habari 17 Juni 2024

    Waziri wa kwanza wa China Li Qiang amekaribishwa ndani ya bunge la taifa, hiyo ikiwa ni ziara ya kwanza ya waziri wa kwanza wa China katika muda wa miaka 7.

    05:48
  14. Wafanyakazi wapato la chini kuongezewa mishahara kuanzia Julai 1

    Ma milioni yawa Australia watapata nyongeza ya asilimia 3.75 kwa mshahara wao.

    08:59
  15. Taarifa ya Habari 14 Juni 2024

    Maelfu ya wahamiaji waliokuwa wakitarajia kujisajili katika vyuo vya Australia, hawata weza tena kuomba viza wanazo hitaji.

    21:37
  16. Uhaba wa fedha wakwamisha shughuli za taasisi za Jumuiya ya Afrika Mashariki

    Taasisi kadhaa za Jumuiya ya Afrika Mashariki, zimejipata katika hali ngumu baada ya bajeti zao kuathirika sana.

    06:39
  17. Iyanii "fahari yangu imekuwa kubadilisha maisha ya wazazi wangu"

    Iyanii ni msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka Kenya, anaye zidi kuwa maarufu kila kukicha.

    15:19
  18. Taarifa ya Habari 11 Juni 2024

    Serikali ya Queensland inapanga kuwa na hatua zakupunguza shinikizo ya gharama ya maisha licha yakutarajia nakisi ya bajeti.

    18:31
  19. Baby blues au unyogovu wa uzazi? Jinsi yaku jisaidia pamoja na mpendwa wako

    Kama wewe ni mzazi mtarajiwa au mzazi mpya, huenda umesikia neno hili la kiingereza 'baby blues'. Maana yake ni hisia za uzoefu wa changamoto zaki hisia ambazo wanawake wanne kati…

    13:09
  20. Taarifa ya Habari 10 Juni 2024

    Upinzani wa shirikisho umesema una nia yakutekeleza Makubaliano ya Paris ila, uta futa malengo ya mazingira ya Australia yanayo ifunga kisheria.

    06:00
Now Playing