SBS Swahili - SBS Swahili cover art

Podcast

SBS Swahili - SBS Swahili

1,008 episodesLatest 1 day agoNew episode
Recorded in AustraliaAbout AustraliaSwahiliNewsDaily NewsSociety & Culture
Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili

Episodes — page 29

  1. Taarifa ya Habari 18 Machi 2025

    Shinikizo lakisiasa lina ongezeka kwa chama cha Labor kiache makubaliano ya AUKUS, ambayo kupitia makubaliano hayo Australia inafaa pata manowari ya nyuklia.

    19:34
  2. Utofauti wa Lugha za Mataifa ya Kwanza

    Mtu yeyote mgeni nchini Australia anaweza fahamu umuhimu waku weka hai lugha yako ya mama. Lugha ni muhimu kwa utamaduni wako na lugha za asili za Australia si tofauti, kuwaunga wa…

    12:00
  3. Taarifa ya Habari 17 Machi 2025

    Waziri Mkuu na kiongozi wa zamani wa chama cha Liberals Malcolm Turnbull, amesema hadhani Australia inastahili endelea mbele na ushirikiano wa AUKUS, ametoa maoni hayo wakati wasiw…

    06:16
  4. Matt Gitau "wakati wakuongoza kulingana na katiba na matumaini yawa Kenya umefika"

    Wakenya wana endelea kukabiliana na uongozi mpya wa mseto kati ya serikali ya Kenya Kwanza na chama kikuu cha upinzani cha Orange Democratic Movement (ODM).

    12:43
  5. Taarifa ya Habari 14 Machi 2025

    Wauguzi na wakunga wanaomba mageuzi ya udhibiti yatakayo waruhusu kuagiza vipimo vya uchunguzi, kutoa rufaa kwa watalaam na kuagiza dawa fulani. Ni hatua mashirika ya kilele yamese…

    18:27
  6. Want to help shape Australia’s future? Here’s how to enrol to vote - Unataka saidia kuunda mustakabali wa Australia? Hivi ndivyo unaweza jiandikisha kupiga kura

    With another federal election due this year, there are steps you will need to take before casting your vote for the first time. Plenty of resources are available to help you enrol…

    06:55
  7. Taarifa ya Habari 13 Machi 2025

    Ripoti mpya ya Chuo cha Monash imeonesha matukio ya unyanyasaji dhidi yawa Islamu wa Australia, yali ongezeka zaidi ya mara mbili kati ya Januari 2023 na Novemba 2024.

    05:47
  8. Matt Gitau "Jumamosi itakuwa fursa nzuri yakutafuta majibu ya changamoto zinazo tukumba"

    Jumuiya ya wakenya wanao ishi mjini Sydney, New South Wales imekabiliana na taarifa baada ya nyingine yaku sikitisha katika siku za hivi karibuni.

    11:34
  9. Taarifa ya habari 11 Machi 2025

    Mamlaka jimboni New South Wales wamesema jibu baada ya kimbunga Alfred lime hamia rasmi katika mwelekeo wa uokoaji. Hakuna onyo za dharura ambazo zimetolewa kwa kuhama.

    17:54
  10. Uchaguzi wa AI: Je akili ya bandia ita shawishi jinsi wa Australia wata piga kura?

    Akili ya bandia ni teknolojia mpya ambayo watu wanajaribu kuelewa. Watafiti waki jumuishwa.

    10:42
  11. Taarifa ya Habari 10 Machi 2025

    Taarifa za marufiko ya gafla zimetolewa kwa maeneo ya pwani ya New South Wales na Queensland, baada ya tukio la kimbunga cha kitropiki Alfred.

    07:10
  12. Taarifa ya Habari 7 Machi 2025

    Waziri Mkuu Anthony Albanese amesema ame idhinisha ombi la wanajeshi 120, watakao enda mara moja New South Wales kusaidia katika juhudi zaku kabiliana na Kimbunga Alfred.

    20:26
  13. Unataka saidia kuunda mustakabali wa Australia? Hivi ndivyo unastahili fanya kujisajili kupiga kura

    Uchaguzi mwingine wa shirikisho unatarajiwa kufanywa mwaka huu, kuna hatua unastahili chukua kabla yakupiga kura yako kwa mara ya kwanza.

    08:28
  14. Taarifa ya Habari 6 Machi 2025

    Ofisi ya utabiri wa hali ya hewa, ime toa taarifa mpya kuhusu wakati kimbunga chaki tropiki Alfred, kina tarajiwa kufika katika nchi kavu.

    06:34
  15. Ramadan na Eid ni nini, na huadhimishwaje huku Australia?

    Australia ni nchi yenye tamaduni nyingi na ina idadi kubwa yawa Islamu wengi.

    11:33
  16. Jinsi ya kuzungumza kuhusu asili yako

    Je! wewe ni mgeni nchini? ungependa fanya mazoezi ya kujieleza kwa Kiingereza?

    06:44
  17. The AI Election: Will artificial intelligence influence how Australia votes? - Uchaguzi wa AI: Je akili ya bandia ita shawishi jinsi wa Australia wata piga kura?

    Experts say AI could have significant impacts on democracy and trust. - Watalaam wanasema AI inaweza kuwa na madhara makubwa kwa demokrasia na uaminifu.

    10:42
  18. Taarifa ya Habari 4 Machi 2025

    Waziri wa Fedha Katy Gallagher amesema wa Australia wanastahili tarajia bajeti ya shirikisho inayotegemewa, na ambayo itasaidia familia kwa shinikizo za gharama ya maisha.

    19:14
  19. Jinsi AI ilivyo athiri chaguzi kubwa duniani

    Tuna jiandaa kwa uchaguzi wa shirikisho. Hivi karibuni, wa Australia wata elekea katika vituo vya kupiga kura kuwachagua viongozi wetu wapya.

    10:47
  20. Taarifa ya Habari 3 Machi 2025

    Data ina onesha kuwa soko la nyumba nchini Australia lime ibuka kutoka miezi mitatu ya kudorora, baada ya kupunguzwa kwa kiwango cha riba cha kwanza katika zaidi ya miaka minne hal…

    06:36
Now Playing