
Podcast

Duru za pande hasimu nchini Kongo, zimesema serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo na waasi wa M23 wanajiandaa kwa mazungumzo ya ana kwa ana 9 Aprili 2025.

Waziri Mkuu Anthony Albanese amesema serikali ita toa dola milioni 50, kwa sekta zitakazo athiriwa kwa tangazo jipya la ushuru kutoka Marekani.

With an election date set for May 3rd, campaigning has officially begun. But political advertisements have already been circulating for months. Can you trust what they say? - Baada…

Kila kukicha sekta ya sanaa nchini Kenya, huwakaribisha wasanii wapya.

Waziri wa Ajira na mahusiano ya kazini, Murray Watt, ame kosoa ahadi ya upinzani yaku futa baadhi ya mageuzi ya mahusiano ya viwanda ya Serikali ya Labor.

Je, unajua namna ya kufanya majadiliano kuhusu uchaguzi katika Kiingereza?

Wa Islamu nchini Australia na duniani kote, wana sherehekea Eid al-Fitr baada ya mwezi mtukufu wa Ramadan kumalizika.

Disability advocates and experts say cultural stigma and migration laws leave migrants living with disability further excluded and marginalised. - Watetezi wa ulemavu na wataalam,…

Tarehe ya uchaguzi wa shirikisho wa 2025 ime tangazwa. Tangazo hilo lina maana gani? Na unastahili fanya nini sasa?

Waziri Mkuu Anthony Albanese ametangaza kuwa tarehe ya uchaguzi mkuu itakuwa 3 Mei 2025. Bw Albanese ali muarifu Gavana Mkuu Samantha Mostyn, nia yake yaku itisha uchaguzi mkuu map…

Viongozi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki na ile ya SADC, wameongeza kasi ya kujaribu kusuluhisha mzozo wa mashariki mwa nchi ya DRC.

Msemaji wa maswala ya hazina katika Upinzani amethibitisha kuwa Upinzani wa Mseto, utafuta makato ya ushuru ya Labor, upinzani ukishinda uchaguzi mkuu.

Wa Australia wenye asili ya DR Congo, walijumuika mbele ya bunge la taifa mjini Canberra kuandamana dhidi ya vita vinavyo endelea mashariki mwa DR Congo.

Je, unajua namna yakusema unapenda au haupendi kitu katika Kiingereza?

Naibu Waziri Mkuu ambaye pia ni Waziri wa Ulinzi Richard Marles, amesema kutakuwa uwekezaji wa ziada katika idara ya Ulinzi wa dola bilioni 1 katika bajeti itakayo tangazwa usiku w…

Bajeti ya shirikisho inatarajiwa kurejesha nakisi. Haswa uchaguzi mkuu unapo karibia, bajeti hiyo ime mulika nafasi ngumu kuendelea mbele kwa wanao ongoza nchi.

Serikali ya Labor na Upinzani wana sifu sera zao za Uchumi, kabla ya kutangazwa kwa bajeti ya shirikisho kesho Jumanne 25 Machi.

Wa Kenya wanao ishi Australia, wana elekea mjini Adelaide, Kusini Australia kuhudhuria tamasha ya kila mwaka inayo andaliwa na jumuiya ya Kitwek jimboni humo.

Onyo kuu la marufiko limetolewa kwa jumuiya za Kaskazini Queensland, karibu ya Lower Herbert River. Kiwango cha maji kimepita kiwango cha mafuriko cha mita 5.5 asubui ya Alhamisi 2…

Against the backdrop of the Israel-Hamas war, incidents of Islamophobia in Australia have surged – whether verbal, physical or online. What's the lasting impact on victims, and wha…
