SBS Swahili - SBS Swahili
Want to help shape Australia’s future? Here’s how to enrol to vote - Unataka saidia kuunda mustakabali wa Australia? Hivi ndivyo unaweza jiandikisha kupiga kura artwork

Want to help shape Australia’s future? Here’s how to enrol to vote - Unataka saidia kuunda mustakabali wa Australia? Hivi ndivyo unaweza jiandikisha kupiga kura

SBS Swahili - SBS Swahili
06:55
Play episode

Show notes

With another federal election due this year, there are steps you will need to take before casting your vote for the first time. Plenty of resources are available to help you enrol to vote and have your say in shaping our nation. - Uchaguzi mwingine wa shirikisho ukitarajiwa mwaka huu, kuna hatua utahitaji chukua kabla yakupiga kura yako kwa mara ya kwanza. Kuna rasilimali nyingi zaku kusaidia kujisajili kupiga kura na kutoa maoni yako katika mustakabali wa nchi yetu.

More from this show

More
  1. Yaliyojiri Afrika: Human Rights Watch "Ukosefu wa uchunguzi wa kina na kufunguliwa mashtaka dhidi yawahusika kunaweza endeleza uhalifu nchini Kenya"

    Shirika lakutetea haki za binadam la Human Rights Watch lime onya kuwa, makundi ya watu wenye silaha yame endesha mifululizo yamashambulizi dhidi ya mikutano yakisiasa na shughuli…

    07:14
  2. Taarifa ya Habari:Serikali ya shirikisho inatetea hatua yake kali ya uhamiaji inayo imarisha sheria kwa wanafunzi wakimataifa na watalii

    Serikali ya shirikisho inatetea hatua yake kali ya uhamiaji, ambayo inaimarisha sheria kwa wanafunzi wa kimataifa na watu ambao wako nchini kwa likizo, inalenga wanao baki nchini z…

    14:51
  3. SBS Learn Eng Ep 119 Jinsi yakuzungumza kuhusu mizio ya majani

    Je, unajua jinsi yakuzungumza kuhusu mizio ya majani?

    12:06
  4. Makala Leo:Ukandamizaji wa uhamiaji: Labor yaimarisha sheria za viza kwa wanafunzi na watalii

    Serikali imefichua mpango wake wa kupunguza uhamiaji halisi wa nje ya nchi hadi watu 225,000 ifikapo 2028, kulingana na utabiri kutoka bajeti ya Mei.

    13:47
  5. Taarifa ya Habari:Wanafunzi wakimataifa kukabiliwa kwa mkakati wa uhamiaji, wenye sheria kali

    Serikali ya shirikisho ime tangaza mabadiliko makubwa katika mfumo wa uhamiaji wa Australia, ikiimarisha sheria kuhusu ni nani anayeweza kuja nchini na ni nani anayeweza baki nchin…

    06:27
  6. Mh Dkt Kosgei afunguka kuhusu alipoanza kuamani kuwa ulemavu si kutoweza

    Mh Dkt Jackson Kosgei ni Askofu mstaafu, na kwa sasa ana hudumu kama mbunge aliyeteuliwa katika bunge la taifa nchini Kenya.

    18:42
Now Playing
Want to help shape Australia’s future? Here’s how to enrol to vote - Unataka saidia kuunda mustakabali wa Australia? Hivi ndivyo unaweza jiandikisha kupiga kura — SBS Swahili - SBS Swahili | Podcast | Josplay Music