SBS Swahili - SBS Swahili cover art

Podcast

SBS Swahili - SBS Swahili

1,008 episodesLatest 1 day agoNew episode
Recorded in AustraliaAbout AustraliaSwahiliNewsDaily NewsSociety & Culture
Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili

Episodes — page 19

  1. Baraza la usalama wa chakula latoa vidokezo jinsi ya kuandaa vyakula kwa usalama ili kuepukana na magonjwa

    Kuna mambo mengi ya kushughulikia wakati huu wa mwaka, na milo yetu inaweza kuja na upande wa magonjwa. Baraza la Habari za Usalama wa Chakula la Australia limetoa vidokezo vyake b…

    06:16
  2. Taarifa ya habari:serikali ya Australia yaomba msamaha rasmi kwa watu wa mataifa ya kwanza leo

    Baadhi ya habari zinazojumuisha taarifa yetu leo, *Victoria inatarajiwa kutoa msamaha kwa watu wa mataifa ya kwanza leo *Serikali ya Northern territory imepinga ziara ya umoja wa m…

    09:53
  3. Yaliyojiri Afrika:mapigano kati ya waasi wa M-23 na jeshi la DRC yaendelea

    Jason Nyakundi anatujuza kinachoendelea Afrika. Kwa maelezo zaidi elekea kwa tovuti yetu ya sbs.com.au/swahili.

    08:55
  4. Wauzaji wajiandaa kwa ongezeko la wizi madukani msimu wa sherehe unapokaribia

    Kadri msimu wa ununuzi wa sherehe unapoanza, wauzaji wanajiandaa kwa ongezeko la wizi madukani. Nchini Australia kote, wizi umefikia kiwango cha juu zaidi katika miaka 21. Wataalam…

    05:21
  5. Australia kupiga marufuku mitandao ya jamii kwa walio chini ya umri 16

    Kuanzia Jumatano wiki hii, Australia itakuwa nchi ya kwanza duniani kupiga marufuku watu walio chini ya umri wa miaka 16 kuwa na akaunti za mitandao ya kijamii, na kusababisha maju…

    08:23
  6. Taarifa ya habari:Keir Starmer amlaumu Vladimir Putin kwa kifo cha mwanamke mwaka 2018

    Kwa taarifa zaidi tunakuelekeza katika tovuti ya sbs.com.au/swahili.

    10:56
  7. Yaliyojiri Afrika:Rwanda na DRC wamesaini makubaliano ya amani

    Jaon Nyakundi anatujuza kinachoendelea Africa.

    09:15
  8. Mfumo wa kiufundi umeundwa kubadilisha taka kuwa bidhaa zinazoweza kutumika

    Nchini Australia, karibu tani milioni 7.6 za chakula zinapotezwa kila mwaka. Mwanzilishi mmoja wa kike ameunda suluhisho ndani ya sanduku.Linapokuja suala la usafi wa taka za chaku…

    05:50
  9. Australia yafafanuliwa:tahadhari kuhusu hatari za moto joto linapoongezeka

    Utabiri wa hivi karibuni wa majaliwa ya moto wa nyika unatabiri hatari kubwa ya moto katika sehemu mbalimbali za Australia msimu huu wa kiangazi. Licha ya mvua za hivi karibuni kat…

    04:02
  10. Australia yafafanuliwa:Umoja wa mataifa wachunguza utaratibu wa kizuizi cha wahamiaji Australia

    Utawala wa mamlaka ya uhamiaji wa Australia unachunguzwa na Umoja wa Mataifa wiki hii. Kikundi Kazi cha U-N juu ya Kuzuia Kiholela uhuru kinachunguza jinsi nchi hiyo inavyonyima wa…

    10:51
  11. Taarifa ya habari:serikali kuendeleza mpango wa kuboresha AI nchini Australia

    Na katika taarifa zetu leo: *watu kumi na watatu wakamatwa HongKong kuhusiana na moto mkubwa wiki iliyopita. *serikali kuendeleza mpango wa kuboresha AI * onyo kutoka kwa mdhibiti…

    09:06
  12. Yaliyojiri Afrika:rais Museveni akosa kuhudhuria mdahalo wa rais Uganda

    Jason Nyakundi atujuza yanliyojiri Afrika

    09:14
  13. Wanafunzi wa kimataifa watahadhariwa kuhusu kazi za likizo

    Mwaka wa masomo unapokamilika, maelfu ya wanafunzi wa kimataifa wanaandikishwa kwa kazi za likizo. Hata hivyo, iwapo mambo yataenda kombo, wataalam wanaonya kuwa wachache wanaelewa…

    10:00
  14. Jinsi utovu wa sheria Israel unaathiri wakulima wa Palestine

    Kwa mtengenezaji wa mvinyo wa Kipalestina kutoka Australia, Sari Kassis, ukweli wa kilimo katika Ukingo wa Magharibi ni hali ya hatari ya kila wakati, kimwili na kiakili. Kwa kuong…

    11:26
  15. Bei za upangaji zinaendelea kupanda wakati gharama ya maisha inaongezeka

    Licha ya viwango vya riba kutulia, stress ya kodi bado haijabadilika kote Australia. Katika miji mingi mikubwa, kaya bado zinatoa karibu theluthi moja ya mapato yao ili kuweka paa…

    06:12
  16. Taarifa ya habari: Moto Hongkong umeingia siku ya pili,mamia bado hawajapatikana

    Fuata tovuti yetu sbs.com.au/swahili kwa habari na maelezo zaidi

    10:59
  17. Yaliyojiri Afrika:Guinea-bissau yakumbwa na mapinduzi ya jeshi

    Jason Nyakundi ni mwanahabari kutoka Nairobi,Kenya na anatujuza yanayoendelea Afrika wiki hii.

    08:55
  18. Australia yafafanuliwa:waathiriwa wa ukatili wa kijinsia wahimizwa kuripoti

    Mmoja kati ya wanawake watano na mmoja kati ya wanaume kumi na sita wamekumbwa na ukatili wa kingono wakiwa watu wazima huko Australia, kulingana na Ofisi ya Takwimu ya Australia y…

    12:28
  19. Australia yafafanuliwa: mkutano wa G20 umekamilika

    Viongozi wa dunia wamesifu mkutano wa kwanza wa G20 kufanyika Afrika kama ushindi kwa ushirikiano wa kimataifa, hata walipokuwa wakizungumzia changamoto za mabadiliko ya tabianchi,…

    07:13
  20. Taarifa ya habari:kimbunga fina, mvua, mafuriko na upepo mkali waendelea kuwaathiri wakaazi wa Queensland

    Jisajili au fuata makala yaliyo rekodiwa ya Australia ya fafanuliwa, kwa habari muhimu zaidi na vidokezo kuhusu kuanza maisha yako mapya nchini Australia. Una swali lolote au wazo…

    11:21
Now Playing