
Podcast

Mnapofikiria kutazama ndege, labda mnawazia wastaafu. Lakini kizazi kipya kinaanza kutumia darubini na kujihusisha na burudani hii. Kile kilichokuwa kimbilio kutoka ulimwengu wa mt…

**WAZIRI MKUU ANTONY ALBANESE AZINDUA TUME YA KIFALME YA KUCHUNGUZA TUME YA KIFALME YA KUCHUNGUZA KESI ZA CHUKI DHIDI YA WAYAHUDI AUSTRALIA. **MAWIO YA MOTO YAWEKWA SEHEMU MBALIMBA…

Kwa habari au maelezo zaidi tembelea sbs.com.au/swahili.

Mipango ya lishe kama vile Foodmap, yenye protini nyingi, isiyo na gluten, yenye mafuta kidogo, na kula chakula safi - kuna mipango mingi sana ya lishe, na ushauri unaokinzana. Wat…

Wazazi wanaopeleka watoto kwenye vituo vya malezi wana uhakika wa kupata ruzuku ya asilimia 90 kwa siku tatu za wiki, bila kupitia mchakato wowote wa uthibitishaji. Ruzuku hii itag…

** Rais wa Venezuela Nicolas Maduro na mkewe walikana hatia katika mahakama ya Marekani. ** Mtu anayedaiwa kuwa mfyatuliwa wa risasi Bondi amehamishwa kwenda gereza la Goulbourn su…

Jason anatujuza yanayojiri pande mbali mbali Afrika, Kwa habari zaidi elekea kwa tovuti yetu sbs.com.au/swahili.

Kwa taarifa zaidi elekea katika mitandao yetu ya kijamii au pia tovuti yetu sbs.com.au/swahili.

Kwa taarifa zaidi elekea katika mitandao yetu ya kijamii au pia tovuti yetu sbs.com.au/swahili.

Kwa taarifa zaidi elekea katika mitandao yetu ya kijamii au pia tovuti yetu sbs.com.au/swahili.

Kwa taarifa zaidi elekea katika mitandao yetu ya kijamii au pia tovuti yetu sbs.com.au/swahili.

Kwa taarifa zaidi elekea katika mitandao yetu ya kijamii au pia tovuti yetu sbs.com.au/swahili.

Mwanahabari Jason Nyakundi atujuza yaliyojiri Afrika. Kwa maelezo zaidi elekea kwa mitandao yetu ya kijamii au tovuti yetu sbs.com.au/swahili

Kukusanya fedha ili kupunguza makazi duni miongoni mwa wanawake ndiyo lengo la hoteli moja mjini Sydney, moja kati ya biashara elfu kumi na mbili ya kijamii nchini Australia zinazo…

Biashara ya nyama ya ng'ombe ya dola bilioni ya Australia inakabiliwa na mabadiliko makubwa kutokana na hatua ya China kuweka ushuru wa asilimia Hamsini na tano kwa uingizaji wa bi…

Rais wa Marekani Donald Trump ameamuru shambulio kubwa dhidi ya Venezuela kuwakamata Rais wa Venezuela Nicolás Maduro na mke wake. Wametuhumiwa na makosa ya dawa za kulevya na sila…

Polisi wametangaza shambulio la risasi nyingi huko Bondi Beach Jumapili kama shambulio la kigaidi, baada ya wanaume wawili kufyatua risasi kwa mamia ya watu waliokusanyika kwa ajil…

Ripoti mpya ya kitaifa imegundua kuwa Waasutralia wanakabiliwa na wastani wa kusubiri miaka mitano kwa teknolojia za matibabu zinazookoa maisha. Ripoti inasema kuwa ingawa teknoloj…

Miaka ishirini iliyopita, maelfu walikusanyika kwenye kitongoji cha pwani cha Cronulla huko Sydney, kwa kile kilichogeuka kuwa mkutano wa vurugu dhidi ya uhamiaji kutoka Mashariki…

Katika wiki za hivi karibuni, moto wa nyika umesababisha uharibifu wa nyumba na mali katika maeneo ya pwani ya katikati ya kaskazini ya New South Wales, Geraldton huko Magharibi mw…
