SBS Swahili - SBS Swahili cover art

Podcast

SBS Swahili - SBS Swahili

1,008 episodesLatest about 19 hours agoNew episode
Recorded in AustraliaAbout AustraliaSwahiliNewsDaily NewsSociety & Culture
Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili

Episodes — page 17

  1. Yaliyojiri Afrika:Watanzania bado wanakabiliwa na athari za baada ya uchaguzi wa hivi karibuni

    Watanzania bado wanakabiliwa na athari za baada ya uchaguzi wa hivi karibuni, huku wanahabari wakizuiwa kuripoti usimulizi mbele ya tume ya uchunguzi. Makubaliano kati ya Congo na…

    08:52
  2. Makala leo:Maelfu wanadai fidia baada ya Huduma za Australia kutumia sheria za msaada wa watoto visivyo

    Ripoti muhimu imefichua kuwa Service Australia ilikwepa kwa makusudi sheria za malezi ya watoto kwa muda wa miaka sita, ikiwa imezuia ndani kwa ndani malipo kwa zaidi ya wazazi 16,…

    07:30
  3. Makala leo:Wito kwa shule kusaidia kubaini ishara za ndoa za kulazimishwa

    Wanafunzi wanaporudi shuleni kwa mwaka mpya, Polisi wa Shirikisho la Australia(Federal Police) wanatoa wito kwa shule kuwa waangalifu kwa ishara za wanafunzi kulazimishwa kuingia k…

    04:40
  4. Makala leo:Je, Australia inapaswa kuyafikiria upya maelewano yake na Marekani?

    Vitisho vya kijeshi vya Donald Trump na vita vya kibiashara vinavyoandika wasiwasi kwa washirika, baadhi ya wataalamu wanatoa wito wa kufikiria upya ushirikiano wa muda mrefu wa Au…

    10:21
  5. Makala leo:kundi la wanasayansi watafiti asili, chakula na kukua kwa samaki

    Mamilioni ya watu duniani kote huugua kila mwaka kutokana na vyakula visivyo salama au vilivyochafuliwa. Baadhi ni kutokana na udanganyifu wa vyakula, kitendo cha kuuza makusudi bi…

    06:54
  6. Makala leo:Siku ya Australia yaadhimishwa licha ya maoni mbalimbali

    Siku ya Australia imeadhimishwa kote nchini kwa sherehe za uraia na tuzo za Mwanaustralia wa Mwaka. Siku hiyo pia imeadhimishwa na watu wa Kabila la Aborijini na Visiwa vya Torres…

    06:01
  7. Tarifa ya habari:mamlaka za dharura zatoa tahadhari juu ya jua kali

    **MAMLAKA ZA DHARURA ZATOA TAHADHARI KUHUSU HALI YA HEWA LEO PANDE TOFAUTI VICTORIA **CHAMA CHA LIBERALS LIKO CHINI YA SHINIKIZO NA MSUKUMO WA ZIADA **KUNA PENDEKEZO MPYA YA KUFANY…

    10:25
  8. #100 More or less? Talking about quantities - #100 Kiasi na idadi

    Learn how to talk about amounts and quantities in everyday English. - Je, unajua jinsi ya kutumia kiasi na idadi katika kiingereza ya kila siku?

    08:33
  9. Taarifa ya habari:Wanachama wa National wajiuzulu kufuatia sheria tata za hotuba za chuki

    **Polisi wamsaka mtuhumiwa wa mauaji New South Wales ** Waustralia hamsini na tatu wataiwakilisha taifa kwenye Michezo ya Olimpiki **Na tamasha ya muziki ya Tamworth yaanza kesho.

    11:31
  10. Makala:Serikali ya Victoria kuendelea na ubomozi wa nyumba za umma licha ya upinzani

    Katika wakati wa mgogoro wa makazi na gharama za maisha, serikali ya Victoria iko katika mchakato wa kubomoa minara yote 44 ya makazi ya umma ya Melbourne. Licha ya upinzani mkubwa…

    13:05
  11. Yaliyojiri Afrika:Mkuu wa jeshi la Uganda atishia kumuua kiongozi wa upinzani Boby Wine

    Kwa maelezo zaidi tembelea tovuti yetu sbs.com.au/swahili.

    08:45
  12. Taarifa ya habari:Nchi za Ulaya zajiandaa kutetea eneo la Denmark

    **Papa waendelea kuwashambulia watu huko Sydney ** Rais Donald Trump aendelea na mchakato wake wa kuchukua Greenland **Soko la Samaki la Sydney sasa limefunguliwa

    12:13
  13. Makala leo:Mkakati mpya wa usalama wa maji wazinduliwa

    Tangu kuanza kwa kiangazi, watu 33 wamepoteza maisha yao kutokana na kuzama maji huko Australia. Kwa kuwa kuzama maji kunatokea zaidi tangu Janga la COVID-19, Baraza la Usalama wa…

    07:58
  14. Yaliyojiri Afrika:Upinzani wakataa matokeo ya uchaguzi Uganda

    Mwanahabari Jason Nyakundi anatujuza yanayoendelea Afrika. Kwa habari ama maelezo zaidi tembelea tovuti yetu sbs.com.au/swahili.

    08:47
  15. Makala leo:jinsi ya kutambua na kuepuka ulaghai wa AI

    Utafiti mpya unaonyesha kwamba Waustralia wanaamini kupita kiasi juu ya uwezo wao wa kutambua ulaghai wa AI deepfake, hata teknolojia inavyoendelea kuwa ngumu zaidi kugundua. Wataa…

    10:44
  16. Yaliyojiri Afrika:kura zimeanza kuhesabiwa Uganda licha ya matatizo ya kiufundi hapo awali

    Kwa maelezo au habari zaidi tembelea tovuti yetu sbs.com.su/swahili.

    09:03
  17. Taarifa ya habari:tume ya kifalme ya kuchunguza hotuba za chuki yakosa uungwaji mkono

    ** Kikundi cha Kiyahudi kinatoa wito wa mabadiliko na ucheleweshaji wa marekebisho ya hotuba za chuki za serikali... ** Angalau watu watano wameuawa katika mashambulio ya anga ya I…

    09:31
  18. Taarifa ya habari:Kevin Rudd ajiuzulu kama balozi wa Australia nchini Marekani

    **Kevin Rudd ajiuzulu kama balozi wa Marekani... **Mlipo wa bomu waua maafisa wa polisi kaskazini mwa Pakistan... **Meta yazua shauku kuhusu Australia kuongeza umri wa kutumia mita…

    09:08
  19. Yaliyojiri Afrika:Uganda yajiandaa kwa uchaguzi mkuu Alhamisi

    Mwanahabari Jason Nyakundi anatujuza yanayoendelea Afrika. Tembelea tovuti yetu sbs.com.au/swahili kwa maelezo au habari zaidi.

    09:08
  20. Makala leo:utafiti unaonyesha miti kote Australia inakufa kwa kasi zaidi,hali inayochangia kaboni

    Utafiti mpya umebaini kuwa miti kote Australia inakufa kwa kasi zaidi kuliko inavyokua, hali ambayo inachangia ongezeko la utoaji wa kaboni. Utafiti huo, unaoongozwa na Chuo Kikuu…

    05:14
Now Playing