SBS Swahili - SBS Swahili cover art

Podcast

SBS Swahili - SBS Swahili

1,002 episodesLatest 3 days agoNew episode
Recorded in AustraliaAbout AustraliaSwahiliNewsDaily NewsSociety & Culture
Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili

Episodes — page 14

  1. Taarifa ya Habari: Vituo vya kuuza mafuta vyaonywa visiongeze bei kupita kiasi

    Mojtaba Khamenei ametangazwa kuwa kiongozi mkuu mpya wa Iran.

    06:18
  2. Taarifa ya Habari: Onyo za mafuriko zawekwa kote jimboni Queensland

    Onyo za mafuriko zimewekwa kote jimboni Queensland, wakati hali ya hewa ya kitropiki inatabiriwa kufika pwani mchana wa leo kati ya miji ya Cairns na Townsville.

    14:12
  3. Australia Yafafanuliwa: Jinsi makazi ya umma na ya kijamii yanavyo tumiwa nchini Australia

    Kupata mahali pa kuishi pazuri na pa bei nafuu kunazidi kuwa vigumu kwa watu wengi kote Australia.

    14:33
  4. SBS Learn Eng Ep104 Jinsi yakuzungumza kuhusu mitihani

    Je, unajua jinsi yakuzungumza kuhusu mitihani?

    11:58
  5. Taarifa ya Habari: DFAT yatuma timu kuwasaidia Waaustralia waliokwama Mashariki ya Kati

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Australia Penny Wong amesema dunia ina wasiwasi kuhusu jinsi Iran inavyo jibu mashambulizi ya Marekani na Israel yaliyomuua kiongozi wake, Ayatollah Khame…

    05:56
  6. Jay "Marekani iki kuambia wanataka mfanye mazungumzo jua nyuma ya pazia wanapanga kitu fulani"

    Siku kadhaa baada ya Israel na Marekani kuanza mashambulizi yao dhidi ya Iran, wachambuzi wame anza kuelezea madhara ya vita hivyo katika kanda hiyo na duniani kote kwa ujumla.

    09:56
  7. Taarifa ya Habari: Australia haishiriki katika vita dhidi ya Iran, Waziri wa Ulinzi aeleza vyombo vya habari

    Waziri wa Ulinzi Richard Marles amethibitisha kwamba Australia haishiriki katika hatua za kijeshi zinazoendelea dhidi ya Iran.

    13:02
  8. Yaliyojiri Afrika: Muungano wa Afrika walaani vita dhidi ya iran, waomba vistishwe maramoja

    Viongozi kadhaa wa bara la Afrika wameungana na Muungano wa Afrika kulaani vita vinavyo endelezwa na Marekani na Israel dhidi ya Iran.

    08:51
  9. Makala leo: Wairani-Waaustralia waomba demokrasia baada ya mashambulizi ya Marekani na Israeli

    Wairani-Waaustralia wanaelezea hisia mseto kuhusu mashambulizi ya Marekani na Israel nchini Iran, pamoja na mauaji ya Kiongozi Mkuu Ayatollah Ali Khamenei.

    11:14
  10. Taarifa ya habari: Kiongozi mpya wa Iran kuteuliwa baada ya Ayatollah Ali Khamenei kuuawa

    Mchakato unaendelea kuamua ni nani atakaye iongoza Iran, baada ya kuuawa kwa kiongozi mkuu wa nchi hiyo, Ayatollah Ali Khamenei.

    05:02
  11. Yaliyo jiri Afrika: Tahadhari yatolewa kwa mlipuko wa virusi vinavyo sababisha UVIKO-19 Tanzania

    Wizara ya afya Tanzania imesema kuwa maambukizi ya wagonjwa wa mafua makali ya Influenza na Uviko-19 yameongezeka na kuwataka wananchi kuchukua hatua stahiki za kujikinga na maambu…

    08:05
  12. Makala leo: 'Punguza uchochezi' Waziri Mkuu asema baada ya ongezeko ya vitisho dhidi ya wabunge

    Kuondolewa kwa dharura kwa Waziri Mkuu kutoka nyumbani kwake mjini Canberra kwa sababu ya tisho la bomu lililolengwa, kumesababisha maonyo ya kuongezeka kwa mazingira ya usalama, a…

    09:08
  13. Taarifa ya Habari: SES NSW yapokea simu 450 zakuomba msaada wakati wa mafuriko magharibi mwa Sydney

    Mvua kubwa imesababisha mafuriko ya ghafla katika sehemu za Sydney usiku kucha wa Alhamisi hadi Ijumaa, wafanyakazi wakujitolea wa S-E-S wakitoa huduma za uokoaji 44 za maji ya har…

    14:05
  14. SBS Learn Eng Ep 102 Jinsi yakuzungumza kuhusu kujipanga

    Je, unajua jinsi yakuzungumza kuhusu kuchumbiana mtandaoni?

    11:47
  15. Makala leo: Tovuti mpya na App ya kuwalinda wanafunzi wa kimataifa nchini Australia

    Kwa wanafunzi wa kimataifa wanaosomea nchini Australia, kupata huduma ya afya mara nyingi huonekana kama swala ghali sana... au la kutatanisha sana kuweza kuipitia.

    09:33
  16. Taarifa ya Habari: Serikali yaamuru familia za wafanyakazi wa ubalozi nchini Israel na Lebanon kuondoka

    Polisi wanaamini kuna watu wengi zaidi wanaohusika, katika utekaji nyara na mauaji ya babu mmoja wa Sydney Chris Baghsarian.

    07:17
  17. Yaliyo jiri Afrika: Sudan yaikosoa Uganda kwa kumkaribisha mkuu wa RSF Daglo

    Serikali ya Sudan inayoungwa mkono na jeshi imekosoa UIganda kwa kumkaribisha mkuu wa wanamgambo wa RSF Mohamed Hamdan Daglo maarufu kama Hemeti.

    09:24
  18. Australia Yafafanuliwa: Zaidi ya mtindo: Jinsi mitindo ya Mataifa ya Kwanza inavyokua nchini Australia

    Kama ume ishi kwa muda wowote nchini Australia, labda umegundua jinsi maisha yalivyo na utulivu.

    12:08
  19. Makala leo: Ubaguzi wa rangi wabainika kuwa umeenea na niwa kimfumo katika vyuo vikuu vya Australia

    Ripoti ya kwanza ya kitaifa kuhusu ubaguzi wa rangi katika vyuo vikuu nchini Australia imegundua kuwa ni tatizo lililo enea na la kimfumo.

    18:53
  20. How to recover from bushfires - Australia Yafafanuliwa: Jinsi yakupona kutokana na moto wa vichaka

    Australia’s hot, dry climate and unique landscapes make it one of the most bushfire-prone countries in the world. As climate change drives higher temperatures and drier conditions,…

    10:34
Now Playing