SBS Swahili - SBS Swahili cover art

Podcast

SBS Swahili - SBS Swahili

1,008 episodesLatest about 15 hours agoNew episode
Recorded in AustraliaAbout AustraliaSwahiliNewsDaily NewsSociety & Culture
Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili

Episodes — page 15

  1. Makala leo: Tovuti mpya na App ya kuwalinda wanafunzi wa kimataifa nchini Australia

    Kwa wanafunzi wa kimataifa wanaosomea nchini Australia, kupata huduma ya afya mara nyingi huonekana kama swala ghali sana... au la kutatanisha sana kuweza kuipitia.

    09:33
  2. Taarifa ya Habari: Serikali yaamuru familia za wafanyakazi wa ubalozi nchini Israel na Lebanon kuondoka

    Polisi wanaamini kuna watu wengi zaidi wanaohusika, katika utekaji nyara na mauaji ya babu mmoja wa Sydney Chris Baghsarian.

    07:17
  3. Yaliyo jiri Afrika: Sudan yaikosoa Uganda kwa kumkaribisha mkuu wa RSF Daglo

    Serikali ya Sudan inayoungwa mkono na jeshi imekosoa UIganda kwa kumkaribisha mkuu wa wanamgambo wa RSF Mohamed Hamdan Daglo maarufu kama Hemeti.

    09:24
  4. Australia Yafafanuliwa: Zaidi ya mtindo: Jinsi mitindo ya Mataifa ya Kwanza inavyokua nchini Australia

    Kama ume ishi kwa muda wowote nchini Australia, labda umegundua jinsi maisha yalivyo na utulivu.

    12:08
  5. Makala leo: Ubaguzi wa rangi wabainika kuwa umeenea na niwa kimfumo katika vyuo vikuu vya Australia

    Ripoti ya kwanza ya kitaifa kuhusu ubaguzi wa rangi katika vyuo vikuu nchini Australia imegundua kuwa ni tatizo lililo enea na la kimfumo.

    18:53
  6. How to recover from bushfires - Australia Yafafanuliwa: Jinsi yakupona kutokana na moto wa vichaka

    Australia’s hot, dry climate and unique landscapes make it one of the most bushfire-prone countries in the world. As climate change drives higher temperatures and drier conditions,…

    10:34
  7. Taarifa ya Habari: Hali mbaya ya hewa yaweka sehemu nyingi nchini katika hali ya tahadhari

    Sehemu nyingi za Australia ziko katika hali ya juu ya tahadhari, hali mbaya ya hewa na mvua zikiendelea kuathiri jamii na kuharibu njia muhimu za usafiri.

    14:05
  8. Yaliyo jiri Afrika: Wakenya waanza kuwatafuta jamaa wao walio ajiriwa na jeshi la Urusi

    Takriban idadi yawa Kenya 1,000 wameajiriwa kupigania Urusi, kulingana na ripoti ya ujasusi ya Kenya inayoelezea mtandao wa maafisa wahalifu wanaodaiwa kushirikiana na makundi ya b…

    08:17
  9. Makala leo: Wito wa mabadiliko makubwa watolewa baada ya wagonjwa wa afya ya akili kutoroka Sydney

    Serikali ya New South Wales inachunguza mazingira yaliyozunguka kutoroka kwa wagonjwa wawili kutoka hospitali moja, ambao siku chache baadaye walidaiwa kuhusika katika matukio tofa…

    11:53
  10. Makala leo: Waumini wa dini laki Islamu wa anza mfungo wa Ramadan nchini Australia na duniani kote

    Mwezi mtukufu wa Ramadan ume anza, Waislamu kote duniani wakisherehekea Iftar katika siku ya pili ya kipindi cha mfungo.

    07:33
  11. Taarifa ya Habari: Polisi wamkamata kakake Mfalme Charles

    Andrew Mountbatten-Windsor ameachiliwa huru chini ya uchunguzi baada ya polisi wa Uingereza kumhoji kwa saa muda wa masaa 12 kwa tuhuma za utovu wa nidhamu katika ofisi ya umma.

    11:13
  12. SBS Learn Eng Ep 65 Jinsi yakuzungumza kuhusu michezo ya Olimpiki

    Je, unajua jinsi yakuzungumza kuhusu kuchumbiana mtandaoni?

    12:56
  13. Taarifa ya Habari: Jamii yawa Islamu nchini katika hali ya tahadhari kubwa

    Ripoti mpya ya kiuchumi inaonya Australia ina elekea kupoteza hadhi yake, kama taifa lenye deni la chini, huku mikopo ya serikali ikifikia viwango ambavyo havija onekana tangu vita…

    05:56
  14. SBS Learn Eng Ep 103 Namna yakuzungumza kuhusu kuchumbiana mtandaoni

    Je, unajua jinsi yakuzungumza kuhusu kuchumbiana mtandaoni?

    11:41
  15. Angus Taylor ashinda kura ya uongozi wa upinzani wa shirikisho

    Angus Taylor amechukua uongozi wa chama cha Liberal katika kura ya maamuzi ya chama chake kwa ushindi thabiti wa kura 34 dhidi ya 17 zilizotolewa kwa aliyekuwa kiongozi wake.

    15:04
  16. Taarifa ya Habari: Sera ya upinzani yakupiga maarufuku baadhi ya wahamiaji kuingia nchini yazua gumzo

    Mbunge wa chama cha One Nation Barnaby Joyce, amesema ni wazi sera ya uhamiaji ya chama chake, ina ungwa mkono na chama cha Liberal, akihoji madai ya baadhi yama seneta wa chama ch…

    14:57
  17. Yaliyojiri Afrika: Burundi yapewa nafasi ya uwenyekiti AU

    Kuteuliwa kwa Burundi kuwa mwenyekiti wa umoja wa Afrika, kunatarajiwa kuleta tija katika juhudi zakutatuwa migogoro inayo zikabili baadhi ya nchi za jumuia hiyo kutokana na Burund…

    08:35
  18. ACCC yadai Coles ilidai ilipunguza bei- lakini haikufanya hivyo

    Shirika la uangalizi la watumiaji la Australia, lina fungulia mashtaka duka la Coles katika mahakama ya shirikisho.

    07:51
  19. Taarifa ya Habari: Mshtakiwa wa mauaji ya Bondi afikishwa mahakamani

    Mwanaume ambaye ame shtumiwa kwa kushiriki katika shambulizi laki gaidi katika fukwe ya Bondi, amefikishwa mahakamani.

    05:09
  20. Yaliyojiri Afrika: Upinzani dhidi ya kampuni za USA kupata madini ya DRC waongezeka

    Upinzani dhidi ya mpango waku ruhusu kampuni za Marekani kupata madini muhimu nchini Jamhuri yakidemokrasia ya Congo, una ongezeka baada ya Rais Tshisekedi kurejea nchini kutoka mk…

    09:12
Now Playing