SBS Swahili - SBS Swahili cover art

Podcast

SBS Swahili - SBS Swahili

1,002 episodesLatest 3 days agoNew episode
Recorded in AustraliaAbout AustraliaSwahiliNewsDaily NewsSociety & Culture
Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili

Episodes — page 13

  1. Taarifa ya Habari 24 Machi 2026

    Australia inatafuta kupata uhakikisho wa usambazaji wa nishati kutoka kwa washirika wa biashara wakati kukiwa ongezeko la hofu kuwa nchi zitahifadhi mauzo ya nje ya mafuta kwa ajil…

    14:48
  2. Yaliyojiri Afrika: Kenya na Uganda za zindua upanuzi wa ujenzi wa reli

    Marais wa Kenya na Uganda walikutana mjini Kisumu, kuzindua ujenzi uliocheleweshwa wa upanuzi wa reli yenye thamani ya mabilioni ya dola iliyojengwa na China.

    07:51
  3. Makala leo: Jinsi vita Mashariki ya Kati vina chochea wasiwasi kuhusu usalama wa chakula

    Vita katika maeneo ya Mashariki ya Kati, na kufungwa kwa Mlango-Bahari wa Hormuz, kumesababisha kile ambacho wataalamu wanakielezea kama moja ya migogoro mikubwa zaidi ya nishati k…

    12:55
  4. Taarifa ya Habari 23 Machi 2026

    Serikali ya shirikisho inaagiza Tathmini ya Kitaifa ya Mnyororo wa Ugavi wa Chakula kwa ajili yakulinda sekta ya kilimo ya nchi dhidi ya usumbufu wa kimataifa.

    05:46
  5. SBS Learn Eng Ep 106 Kuzungumza kuhusu vyakula vya ajabu

    Je, unajua jinsi yakuzungumza kuhusu vyakula vya ajabu?

    10:23
  6. Taarifa ya Habari:Wakazi wa Kusini Australia wa elekea debeni, je kutakuwa mabadiliko ya serikali?

    Waziri Mkuu Anthony Albanese amesema usambazaji wa mafuta nchini Australia uko salama, lakini anataka Australia iwe tayari kupita kiasi linapokuja suala la kudhibiti uhaba wa mafut…

    12:58
  7. Makala leo: Waziri Mkuu ateua kikosi kazi chaku kabili maswala yaliyo sababishwa na vita Mashariki ya Kati

    Waziri Mkuu amemteua 'mratibu wa mafuta' kusaidia kushughulikia masuala ya mnyororo wa ugavi yaliyosababishwa na vita katika maeneo ya Mashariki ya Kati.

    08:42
  8. Taarifa ya Habari:Waziri Mkuu amteua mratibu wa kitaifa wa mafuta

    Waziri Mkuu Anthony Albanese, amteua mratibu wa kitaifa wa mafuta, kushughulikia masuala ya usambazaji.

    07:27
  9. SBS Learn Eng Ep 105 Jinsi yakuzungumza kuhusu mafanikio kazini

    Je, unajua jinsi yakuzungumza kuhusu mitihani?

    08:27
  10. Taarifa ya Habari: Iran yaonya nchi dhidi yakujiunga katika vita vya Marekani na Israel dhidi yao

    Waziri wa Nishati Chris Bowen amehakikishia taifa kwamba usambazaji wa mafuta nchini Australia bado uko salama, huku usafirishaji ukifika kama ilivyopangwa na akiba ya kutosha kuif…

    05:42
  11. Mahojiano: Micheline"Tunataka wanawake wote wasimame imara"

    Wanawake kutoka jumuiya ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, wana jiandaa kwa sherehe maalum ya siku ya wanawake.

    10:12
  12. Mahojiano: Jay "vita dhidi ya Iran vinaweza kuwa na madhara makubwa sana kwa Australia"

    Madhara ya vita vya Israel na Marekani dhidi ya Iran, yame anza kushuhudiwa nchini Australia.

    10:54
  13. Taarifa ya Habari: Serikali ya shirikisho yaongeza hatua za usambazaji wa mafuta Australia

    Serikali ya Shirikisho imebadilisha hatua nyingine kwa ajili yakushughulikia athari za mgogoro wa usambazaji wa mafuta Australia.

    12:36
  14. Makala leo: Sheria mpya za Australia kupiga marufuku kwa muda baadhi ya watu kuingia nchini za kosolewa

    Serikali ya shirikisho ime wasilisha sheria mpya ya kuweka marufuku ya muda, kwa baadhi ya nchi kutumia viza fulani kuja Australia.

    14:01
  15. Taarifa ya Habari: Viongozi wa dunia wakubali kutoa idadi kubwa ya mapipa ya mafuta kutoka akiba ya dharura

    Mataifa tajiri zaidi duniani yamekubali kutoa idadi kubwa ya mapipa ya mafuta kutoka akiba ya dharura, kwa ajili ya kupunguza ongezeko kubwa la bei kutokana na vita vya Marekani na…

    06:19
  16. Australia Yafafanuliwa:Taarifa kuhusu sheria za forodha na usalama wa kibiolojia za Australia

    Forodha kwa ujumla ndio sehemu ya kwanza ya mawasiliano kwa watu wanaoingia Australia. Maafisa wa Kikosi cha Mpakani cha Australia wako tayari kwenye lango, wakilenga kuweka bidhaa…

    13:56
  17. Yaliyojiri Afrika: 45 wafariki katika mafuriko mjini Nairobi

    Nchini kenya idadi ya waliofariki kutokana na mafuriko yaliosababishwa na mvua kubwa wiki iliopita, imeongezeka kutoka 23 na sasa idadi hiyo imefikia watu 45, kwa mujibu wa taarifa…

    07:44
  18. Taarifa ya Habari: Waziri Mkuu aeleza timu ya soka ya wanawake ya Iran, "msaada upo kama wana uhitaji"

    Waziri Mkuu wa Australia amesema serikali itamsaidia yeyote kati ya timu ya soka ya wanawake ya Iran ambaye bado hajaomba hifadhi hapa.

    08:12
  19. SBS Learn Eng Ep 69 Jinsi yakuzunguza kuhusu kunyolewa kwa Kiingereza

    Je, unajua jinsi yakuzungumza kuhusu mitihani?

    16:49
  20. Makala leo: Wanawake kote duniani wame ingia mitaani kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Wanawake

    Wanawake kote duniani walijitokeza mitaani kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani, wakitaka kukomeshwa kwa ukosefu wa usawa na ubaguzi.

    06:52
Now Playing