SBS Swahili - SBS Swahili cover art

Podcast

SBS Swahili - SBS Swahili

1,002 episodesLatest 3 days agoNew episode
Recorded in AustraliaAbout AustraliaSwahiliNewsDaily NewsSociety & Culture
Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili

Episodes — page 12

  1. Yaliyojiri Afrika:M23 yashinikiza mabadiliko ya katiba ya DRC na uhuru wa majimbo ya Kivu kujiongoza

    Wawakilishi wa serikali ya DR Congo na kundi la M23 wanajiandaa kukutana nchini Uswizi kwa awamu nyingine ya mazungumzo.

    08:46
  2. Taarifa ya Habari: Hatari ya barabarani wakati wa Pasaka ya zua wito wa kuteuliwa kwa waziri wa usalama

    Serikali inasema mahitaji ya mafuta yaliongezeka kwa theluthi moja wakati wa mapumziko ya Pasaka.

    12:35
  3. Makala leo: Wakristo waadhimisha Pasaka na Jumapili ya Matawi kwa mioyo mizito na furaha

    Waumini wa dini laki kristo walisherehekea Jumapili ya Pasaka, wakiadhimisha tukio hilo wakati vita katika maeneo ya Mashariki ya Kati vikifunika sehemu kubwa ya dunia.

    09:36
  4. Makala leo: Waustralia waonywa kupata chanjo dhidi ya aina ya mafua inayo sambaa haraka

    Wataalamu wa magonjwa ya kuambukiza wanahimiza kila mtu apate chanjo ya mafua, kwa ajili ya kujaribu kuzuia kurudia kwa mwaka jana ambapo Australia ilishuhudia idadi kubwa ya vifo…

    07:35
  5. Taarifa ya Habari: Australia yapata usambazaji wa mafuta wa mwezi mwingine

    Serikali ya shirikisho imesema ugavi wa akiba ya mafuta ya Australia sasa umeongezwa hadi Mei, kuanzia katikati ya Aprili.

    04:36
  6. Taarifa ya Habari: 13 wauawa katika milipuko Burundi

    Ushuru wa petroli unatarajiwa kupunguzwa zaidi, wakati viongozi wa majimbo na wilaya wakikubaliana kuhusu mpango wa kurejesha mapato ya ziada ya ushuru wa bidhaa na huduma kutokana…

    14:41
  7. Makala leo: 'Acha kutumia miili ya wanawake' kundi la misaada laonya, unyanyasaji wa kingono ukienea Sudan

    Wanawake na wasichana wanaokimbia vita vya Sudan wanaelezea ubakaji, mateso na unyanyasaji, huku wafanyakazi wa misaada wakionya kwamba mateso yanazidi kuwa makubwa kuliko visa vin…

    14:26
  8. Makala leo: Hotuba ya Waziri Mkuu yapokewa kwa hisia mseto

    Hotuba ya kitaifa ya Waziri Mkuu Anthony Albanese kuhusu uchumi unaokabiliwa na matatizo nchini humu, inayosababishwa na mgogoro wa nishati duniani, imepokewa kwa hisia mseto.

    09:53
  9. Taarifa ya Habari: Milipuko yasababisha mtafaruku Bujumbura

    Waziri wa ulinzi amethibitisha kwamba Australia itajiunga na kundi la mataifa katika mkutano wa dharura kuhusu jinsi ya kufungua tena Mlango-Bahari wa Hormuz.

    06:23
  10. Makala leo: Afueni kwa madereva wanaokabiliwa na matatizo baada ya serikali kupunguza ushuru wa mafuta

    Baada ya wiki kadhaa za shinikizo kuhusu kupanda kwa bei ya petroli, serikali ya shirikisho imepunguza kodi ya mafuta kwa nusu.

    10:34
  11. Taarifa ya Habari: Serikali yachukua hatua yakupunguza bei ya mafuta nchini baada ya siku kadhaa za shinikizo

    Waziri Mkuu amesema serikali yake imechukua hatua ya kupunguza bei ya mafuta kote nchini, kwa sababu hata kama vita vitaisha mara moja, madhara ya kiuchumi yataendelea.

    13:35
  12. SBS Learn Eng Ep 104 Makala ya ziada: Jinsi yakuzungumza kuhusu mitihani

    Je, unajua jinsi yakuzungumza kuhusu mitihani?

    04:55
  13. Australia Yafafanuliwa: Pasaka ya Australia:Kuchunguza mila za kijamii na kitamaduni zaidi ya dini

    Pasaka inachukuliwa kuwa likizo muhimu zaidi katika kalenda ya Kikristo.

    14:38
  14. Taarifa ya Habari: Ongezeko ya bei ya mafuta yalazimisha serikali izingatie hatua zakufanyia kazi nyumbani

    Hatua za kufanyia kazi nyumbani zinaweza wasilishwa lakini mgao wa mafuta hauzingatiwi, na viongozi wanaohudhuria mkutano wa kitaifa wa baraza la mawaziri leo kuhusu mgogoro wa maf…

    06:35
  15. SBS Learn Eng Ep 70 Jinsi yakufanya mazungumzo wakati wa BBQ

    Je, unajua jinsi ya kufanya mazungumzo wakati wa BBQ?

    11:40
  16. Taarifa ya Habari: Vituo na Wasambazaji kupewa faini ya milioni $100 wakiongeza bei ya mafuta kwa njia bandia

    Vituo vya mafuta na wasambazaji watakaopatikana wakiongeza bei kutokana na vita vya Mashariki ya Kati watakabiliwa na adhabu mpya kali.

    14:18
  17. Mgogoro wa nishati unaokuja una athari kubwa na kali

    Shirika la Nishati la Kimataifa linaonya viongozi wa dunia huenda hawathamini, kina cha mgogoro wa nishati unaokaribia, huku vita vya Marekani na Iran vikiendelea.

    13:13
  18. Taarifa ya Habari: Serikali za Australia na Ujerumani za imarisha uhusiano wa usalama

    Waziri wa ulinzi wa Ujerumani amekutana na mwenzake wa Australia Richard Marles, katika ziara ya kwanza ya mtu aliyehudumu katika nafasi hiyo katika kipindi cha miaka 8.

    05:26
  19. Australia Yafafanuliwa:Jinsi yakununua sanaa za kiasili kimaadili nchini Australia

    Je, unajua kwamba zawadi tatu kati ya nne zinazouzwa nchini Australia, kama za asili au zilizotengenezwa kwa mtindo wa Asili zimegundulika kuwa si za kweli?

    09:36
  20. Makala leo: Rhoda Roberts AO: Shujaa wa utamaduni aliyebadilisha taifa

    Salamu za rambirambi zinatolewa kwa Mwanamke aliyekuwa akitoa mwongozo na ushauri katika shirika la habari la SBS kutoka ukoo wa Widjabul Wia-bal, Shangazi Rhoda Roberts, ambaye am…

    11:25
Now Playing