SBS Swahili - SBS Swahili cover art

Podcast

SBS Swahili - SBS Swahili

1,002 episodesLatest 3 days agoNew episode
Recorded in AustraliaAbout AustraliaSwahiliNewsDaily NewsSociety & Culture
Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili

Episodes — page 11

  1. Taarifa ya Habari:Australia ya omba matokeo ya mazungumzo katika Mlango-Bahari wa Hormuz

    Waziri wa Mambo ya Nje Penny Wong anasema Australia ina omba matokeo ya mazungumzo katika Mlango-Bahari wa Hormuz, baada ya Marekani kushambulia na kukamata meli ya mizigo yenye be…

    13:51
  2. Hadithi iliyopuuzwa: Huduma yawa Aboriginal na wana Visiwa wa vya Torres Strait katika siku ya ANZAC

    Siku ya ANZAC ni moja ya siku muhimu zaidi za kitaifa nchini Australia. Kila mwaka, watu hukusanyika kuwakumbuka waliohudumu katika vita, migogoro na misheni za kulinda amani.

    11:11
  3. Taarifa ya Habari: DRC na M23 wa afikiana kuhusu hatua muhimu za kibinaadamu

    Mweka Hazina wa taifa Jim Chalmers anasema atafanya mazungumzo na serikali za majimbo na mikoa, kuhusu kupunguza ukuaji wa Mfumo wa Kitaifa wa Bima ya Ulemavu (NDIS).

    06:04
  4. Wiki Hii Afrika: CHADEMA chafungua ofisi zake tena Tanzania baada yakupigwa marufuku

    Mahakama ya rufaa ime ondoa marufuku dhidi ya viongozi wa CHADEMA kushiriki katika maswala ya siasa Tanzania.

    07:29
  5. Nicky "Mwaka huu Taunet imelenga kufunza watoto wetu lugha na utamaduni wetu"

    Wanachama wa shirika la Taunet Nelel Melbourne, wame andaliwa sherehe maalum na viongozi wao.

    13:51
  6. Taarifa ya Habari 17 Aprili 2026

    Waziri wa Nishati Chris Bowen anasema uzalishaji wa petroli katika kiwanda cha kusafishia mafuta cha Geelong utaathiriwa kufuatia tukio la moto mapema wiki hii, lakini mmiliki wa k…

    12:40
  7. SBS Learn Eng Ep 106 Kuzungumza kuhusu vyakula ambavyo haufahamu

    Je, unajua jinsi yakuzungumza kuhusu vyakula ambavyo haufamu?

    09:18
  8. Makala Leo: Sera tata ya uhamiaji ya kiongozi wa upinzani Angus Taylor yakosolewa vikali

    Kiongozi wa upinzani Angus Taylor ameelezea sera mpya ya uhamiaji yenye msimamo mkali ya Upinzani wa Mseto

    12:47
  9. Taarifa ya Habari: Zima moto wakabiliana na moto mkubwa katika kiwanda cha kusafisha mafuta

    Kuna ripoti za uharibifu mkubwa kwa moja ya viwanda viwili vya mwisho vya kusafisha mafuta vilivyosalia nchini Australia, kikosi cha zimamoto kikiitikia moto uliozuka katika eneo l…

    06:15
  10. Wiki hii Afrika: Rais Ruto ataka mageuzi katika muundo wa Muungano wa Afrika ili ifikie uwezo wayo kamili

    Rais wa Kenya, William Ruto amesema Umoja wa Afrika katika muundo wake wa sasa, hauja andaliwa ipaswavyo ili kulisaidia bara la Afrika kufikia uwezo walo kamili wa maendeleo na ust…

    07:56
  11. Taarifa ya Habari: Historia ya tengezwa baada ya mwanamke kuteuliwa kuwa mkuu wa jeshi la Australia

    Kwa mara ya kwanza katika historia ya Australia, mwanamke ameteuliwa kuwa mkuu wa jeshi la Australia. Waziri Mkuu alitangaza uteuzi wa Luteni Jenerali Susan Coyle mjini Canberra.

    14:32
  12. Australia Yafafanuliwa:Huduma za kisheria za wanawake nchini Australia:elewa chaguzi zako

    Ubaguzi katika sehemu za kazi, unyanyasaji wa kijinsia na ukosefu wa usawa wa kifedha—hizi ni baadhi ya sababu, zinazowafanya wanawake wahitaji huduma maalum za kisheria.

    14:50
  13. Makala leo: Marekani yazuia bandari za Iran

    Mazungumzo kati ya Marekani na Iran yameshindwa kufikia makubaliano ya kukomesha vita, na kuhatarisha usitishaji wa mapigano kwa muda wa wiki mbili.

    09:04
  14. Taarifa ya Habari: Kenya na Ufaransa zapiga hatua katika mkataba wa ulinzi

    Serikali ya Australia inasema haifikirii kutuma meli katika Mlango-Bahari wa Hormuz, baada ya Rais Donald Trump kusema mataifa mengine yatahusika katika kizuizi cha Marekani kwenye…

    05:39
  15. Australia Yafafanuliwa: Kazi mpya, mwanzo mpya: jinsi ya kubadilisha kazi nchini Australia

    Ni kawaida kufikiria upya maisha yako ya kazi. Baadhi wanatafuta fursa mpya. Wengine wanataka kazi inayolingana vyema na ujuzi wao, maadili, au hali zao.

    14:23
  16. Taarifa ya Habari: Serikali ya Australia na Singapore kutia saini makubaliano mapya ya usambazaji wa mafuta

    Waziri Mkuu Anthony Albanese anasema uhusiano kati ya Australia na Singapore ni muhimu zaidi kuliko hapo awali, nchi hizo mbili zikijiandaa kusaini makubaliano mapya ya mafuta.

    13:11
  17. Yaliyojiri Afrika: Upinzani waomba Tundu Lisu aachiliwe huru bila masharti

    Chama kikuu cha upinzani Tanzania, CHADEMA kina shinikiza kuachiliwa huru kwa kiongozi wao Tundu Antiphas Mughwai Lissu bila masharti.

    07:59
  18. Makala leo: Maumivu ya madereva katika vituo vya petroli yanaweza endelea kwa muda

    Tangazo la kusitisha mapigano Mashariki ya Kati linaonekana kupunguza maumivu ya madereva katika vituo vya petroli, Iran ikikubali kuruhusu meli kupitia Mlango-Bahari wa Hormuz.

    08:31
  19. Taarifa ya Habari:Australia yashinikiza kupanua usitishaji mapigano Mashariki ya Kati ujumuishe Lebanon

    Waziri Mkuu Anthony Albanese ametoa wito kwa Israel kukomesha mashambulizi yake dhidi ya Lebanon, akisema usitishaji wa mapigano katika eneo hilo la Mashariki ya Kati unapaswa kupa…

    05:22
  20. Mahojiano: Je makanisa yanastahili watenga viongozi ambao wame sababisha maafa katika nchi zao na duniani?

    Waumini wa dini laki Kristo kote duniani, wali jumuika katika sehemu mbali mbali kusherehekea Pasaka.

    10:46
Now Playing