Changu Chako, Chako Changu cover art

Podcast

Changu Chako, Chako Changu

26 episodesLatest 4 days agoNew episode
Recorded in FranceAbout East AfricaSwahiliSociety & Culture
Changu Chako, Chako Changu ni makala inayozungumzia masuala ya historia, utamaduni, muziki na lugha ya Kifaransa Afrika Mashariki na Kati na duniani. Makala haya yatakuhabarisha pia kuhusu Jumuiya ya Kimataifa ya Watu Wanaotumia lugha ya Kifaransa kwenye Mawasiliano (L'OIF) na jinsi gani kujifunza na kuelewa lugha nyingine inaweza kuimarisha mahusiano kwenye sehemu zote za maisha ya binadamu.

Episodes

  1. Changu Chako: Historia ya watu wa kabila la Wahehe sept 6 2026

    Karibu katika makala yetu ya leo Jumapili Changu Chako Chako Changu. Makala haya hukuletea Historia na tamaduni ya makabila mbalimbali, le Parler francophone na Muziki, ambapo leo…

    20:00
  2. Changu chako historia ya waswahili wa Burundi harakati za kumtambuwa mswahili sehemu ya 3 Agost 30

    Karibu katika makala changu chako chako chako changu Jumapili ya leo nakuletea sehemu ya 3 na ya mwisho ya historia ya waswahili wa Burundi, ambapo sehemu ya mwisho mgeni wetu atat…

    20:03
  3. Changu Chako: Historia ya waswahili wa Burundi katika harakati za Uhuru agost 23 2026

    Karibu katika Makala changu chako chako change, Makala ambayo hukuletea historia ya mambo mbalimbali, utamaduni le parler francophone na Muziki ambapo leo nakuletea sehemu ya pili…

    19:56
  4. Changu chako chako changu: Historia ya waswahili wa Burundi Agost 16

    Karibu katika Makala haya yanayozungumzia historia ya waswahili wa Burundi. Mntangazaji wako Ali Bilali alikutana na mwanahistoria kutoka Buyenzi Mzee Anzuruni ambae anaeleza kwa k…

    19:53
  5. Historia yaandikwa DRC kwa kuendeshwa baiskeli, ustadi wa tafsiri ya lugha

    Makala hii imeangazia mwanariadha na mwendesha baiskeli mashuhuri Miguel Masaisai alivyoandikisha historia kwa kusafiri na baiskeli yake kwa muda wa miezi mitatu kutoka Goma hadi m…

    20:17
  6. Changu Chako: Historia ya watu wa kabila la Wabembe na kifo cha mwanamuziki Mr Gave

    Karibu katika Makala yrtu ya leo jumapili change chako chako change Makala ambayo hukuletea historia ya mambo mbalimbali, utamaduni le parler francophone na Muziki ambapo leo nakul…

    20:01
  7. Changu Chako Chako Changu: Historia ya Siku ya kimataifa ya Kiswahili Julai 12 2026

    Karibu katika makala yetu ya leo changu chako chako changu, makala ambayo hukuletea historia ya mambo mbalimbali, utamaduni le parler francophone na Muziki, ambapo leo nakuletea hi…

    20:02
  8. Changu Chako Chako Changu: Miaka 16 ya matangazo ya RFI Kiswahili Julay 5 2026

    Karibu katika Makala yetu ya leo change chako chako changu maalum kabisa kuhusu kumbukumbu ya miaka 16 tangu kuzanzishwa kwa matangazo ya idhaa ya Kiswahili ya RFI yalianza kurindi…

    20:00
  9. Changu chako: Historia ya Uhuru wa Burundi juni 28 2026

    Karibu katika makala changu chako chako changu Jumapili ya leo, Makala ambayo hukuletea historia ya mambo mbalimbali, utamaduni le parler francophone na Muziki, ambapo leo nakulete…

    20:01
  10. Changu chako: Tamaduni mbalimbali zilizopitwa na wakati juni 21 2026

    Karibu katika Makala changu Chako Chako Changu, Makala ambayo hukuletea Historia ya mambo mbalimbali, utamaduni le parler francophone na Muziki, ambapo leo nakuletea Makala kuhusu…

    20:01
  11. Changu Chako: Tamaduni mbalimbali za kiafrika na mlimbwende kutoka Kenya

    Karibu katika Makala yetu ya leo changu chako chako changu, Makala ambayo hukuletea historia ya mambo mbalimbali utamaduni le parler francophone na Muziki. Mimi ni Ali Bilali nakuk…

    20:05
  12. Changu Chako Chako Changu: Utamaduni wa kupenda kusafiri juni 7 2026

    Makala haya yanazungumzia kuhusu utamaduni wa kupenda kusafiri kutoka katika eneo moja hadi lingine. Utamaduni huu unashuhudiwa tu kwa wenzetu wazungu. Ali Bilali amempokea influan…

    20:05
  13. Changu Chako Chako Changu: Historia ya Xenophobia barani Afrika Mei 17 2026

    Karibu katika Makala yetu ya leo changu chako chako changu, makala ambayo hukuletea historia ya mambo mbalimbali utamaduni le parler francophone na Muziki ambapo leo nakuleteza his…

    20:02
  14. Changu Chako Chako Chako Changu: fursa za kikao cha Ufaransa na Mataifa ya Afrika

    Katika makala haya mtangazaji wako Ali Bilali anaangazia utamaduni wa kujifunza lugha na furza za mkutano wa wakuu wa nchi za Afrika na Ufaransa, mkutano ambao hapo awali ulifahami…

    20:06
  15. Historia ya siku ya kimataifa ya uhuru wa vyombo vya habari

    Tarehe 03 mei ya kila mwaka ni siku ya kimataifa ya uhuru wa vyombo vya habari, na mwaka wa 2026 imetimia miaka 35 tangu siku hiyo kutangazwa na baraza la umoja wa mataifa, na kati…

    20:11
  16. Historia ya vita vya Iran na Israeli huko mashariki ya kati

    Makala hii imejikita huko mashariki ya kati ambapo tumeangazia kwa undani historia ya nchi ya Iran, na katika utamaduni kabila la wabembe kutoka Fizi mashariki mwa jamhuri ya kidem…

    20:13
  17. Changu chako: Utamaduni wa watu kutoka Embu nchini Kenya

    Karibu katika Makala yetu ya leo changu chako chako changu jumapili hii, Makala ambayo hukuletea historia ya mambo mbalimbali utamaduni le parle francophone na Muziki ambapo leo ni…

    19:45
  18. Changu Chako Chako Changu: Utamaduni wa kuishi pamoja makabila mbalimbali April 12 2026

    Karibu katika Makala yetu ya leo changu chako chako changu jumapili hii, Makala ambayo hukuletea historia ya mambo mbalimbali utamaduni le parler francophone na Muziki ambapo leo n…

    20:00
  19. Changu Chako Chako Changu: Utamaduni wa matumizi ya viungo kwenye chakula march 22 2026

    Ni jumapili nyingine tunakutana katika makala Changu chako chako changu, makala ambayo hukuletea historia ya mambo mbalimbali, utamaduni le parler francophone na Muziki, ambapo leo…

    20:00
  20. Changu Chako Chako Changu: Zanzibar yavunja rekodi ya utamaduni wa kufturisha

    Karibu katika Makala yetu ya leo Changu Chako Chako Changu, makala ambayo hukuletea Historia ya mambo mbalimbali utamaduni, le parler francophone na Muziki, ambapo leo nakupeleka h…

    20:01
Now Playing