← Changu Chako, Chako Changu
Changu Chako Chako Changu: Historia ya Xenophobia barani Afrika Mei 17 2026 artwork

Changu Chako Chako Changu: Historia ya Xenophobia barani Afrika Mei 17 2026

Changu Chako, Chako Changu
20:02
Play episode

Show notes

Karibu katika Makala yetu ya leo changu chako chako changu, makala ambayo hukuletea historia ya mambo mbalimbali utamaduni le parler francophone na Muziki ambapo leo nakuleteza historia ya xenophobia (chuki au woga dhidi ya wageni) tutaungana naye Mariam Posho joélle akiwa nchini Afrika kusini na kwenye Muziki nitakuletea mwanamuziki Mario na wimbo wake mpya Mombasa. Kumbuka kunifuatilia @billy bilali

More from this show

More
Now Playing
Changu Chako Chako Changu: Historia ya Xenophobia barani Afrika Mei 17 2026 — Changu Chako, Chako Changu | Podcast | Josplay Music