Changu Chako, Chako Changu cover art

Podcast

Changu Chako, Chako Changu

26 episodesLatest Sep 6, 2026
Recorded in FranceAbout East AfricaSwahiliSociety & Culture
Changu Chako, Chako Changu ni makala inayozungumzia masuala ya historia, utamaduni, muziki na lugha ya Kifaransa Afrika Mashariki na Kati na duniani. Makala haya yatakuhabarisha pia kuhusu Jumuiya ya Kimataifa ya Watu Wanaotumia lugha ya Kifaransa kwenye Mawasiliano (L'OIF) na jinsi gani kujifunza na kuelewa lugha nyingine inaweza kuimarisha mahusiano kwenye sehemu zote za maisha ya binadamu.

Episodes — page 2

  1. Changu Chako Chako Changu historia ya ngome ya Yesu Mombasa March 8

    Katika makala yetu ya leo Jumapili mtangazaji wako Ali Bilali anatupeleka Mombasa Pwani ya Kenya kuskiliza historia ya Ngome Kongwe pamoja na ile ya ngome ya Yesu ama fort Jesus.…

    19:31
  2. Changu Chako Chako Changu ukumbusho wa mizinga ya kale huko lamu Feb 15 2026

    Makala haya mtangazaji Benson Wakoli alipata nafasi ya kutembelea county ya Lamu Pwani ya Kenya kuangazia kuhusu mizinga iliotumika zama za ukoloni. utapta pia kumsikiliza msanii k…

    20:02
  3. Changu Chako Chako Changu vijana wa Mombasa na fursa kwenye tasnia ya filamu Feb 1 2026

    Katika safari yangu huko Mombasa, nimekutana na vijana kwenye tasnia ya Filamu na kufanya nao mazungumzo kuhusu tasnia hii namna inavyopiga hatuwa pamoja na chamgamoto zake. Kumbu…

    20:01
  4. Changu chako chako changu siku ya mashujaa nchini DRC

    Makala haya mtangazaji wako Ali Bilali anakukumbusha historia ya mashujaa nchini DRC

    20:00
  5. Changu Chako Chako Changu Historia na tamaduni za wabajuni march 1 2026

    Karibu katika Makala haya Changu Chako Chako Changu Jumapili hii nakuletea Historia na tamaduni mbalimbali za watu wa kabila la wabajuni, na kwenye Muziki nitakuletea mwanamuziki M…

    19:59
  6. Changu ChakO chako Changu waigizaji kutoka Mombasa wachangamkia fursa sehemu ya pili

    Waigizaji wa filamu kutoka nchini Mombasa wachangamkia fursa kwa kuwezeshwa na kituo cha utamaduni wa Ufaransa Allaince Francaise ya Mombasa. Huyu hapa ni Lina Sande mmoja wapo tul…

    20:00
Now Playing