Ulimwenguwaufeminine Frequency, Real Talk.
Jinsi ya ku-Detach bila kuzima hisia. artwork

Jinsi ya ku-Detach bila kuzima hisia.

Ulimwenguwaufeminine Frequency, Real Talk.
E325:32
Play episode

Show notes

Detachment ni your super power , Detachment sio kukimbia hisia zako au kuzizima na kuwasha akili tu, Detachment ni kujipenda bila kushikilia chochote nje yako.Kwenye episode hii tunazungumzia hilo kwa undani zaidi. Kama umechoka ku-attach mpaka kuumia, ku-heal kila siku episode hii ni kwa ajili yako.

More from this show

More
Now Playing