
Podcast

Waziri Mkuu Anthony Albanese amejibu shtuma za waziri mkuu wa zamani Scott Morrison, kwa kumshtumu kwa kutokuwa na huruma kwa waathiriwa wa mfumo wa Robodebt.

Vikao vya bunge la shirikisho vime anza tena baada ya likizo ya mwezi mzima, kwa kiongozi wa upinzani Peter Dutton na waziri mkuu wa zamani Scott Morrison kuzungumzia shutma zilizo…

Muswada wa nyongeza ya malipo ya Jobseeker, unatarajiwa kuwasilishwa bungeni vikao vitakapo anza tena kesho Jumatatu 31 Julai 2023.

Serikali ya shirikisho imetangaza ita wasilisha tena muswada wayo mhimu wa nyumba, vikao vya bunge vitakapo anza tena kutoka likizo yake ya majira ya baridi wiki ijayo jumatatu 31…

Bunge la Tanzania limeridhia mkataba wa uendeshaji wa bandari nchini humo kati ya Serikali ya Tanzania na ya Dubai.

Waziri Mkuu Anthony Albanese, amesema Australia inahitaji jiandaa kwa msimu wa moto wa vichaka ujao, wakati mioto ya vichaka inaendelea kuchoma maeneo ya Kaskazini ya dunia.

Gavana wa Kaunti ya Mandera Mohamed Adan Khalif, amesema asilimia 60 ya kaunti yake iko chini ya udhibiti wa Al Shabaab.

Mfumo wa sera ya nyumba jimboni Victoria, wapokewa kwa hisia mseto na baadhi ya wadau jimboni humo.

Mweka hazina wa taifa Jim Chalmers ametetea mfumo mpya wa ustawi wakitaifa wa serikali, katika jibu kwa ukosoaji kuwa baadhi ya data inayo tumiwa imepitwa na wakati.

Kampeni za uchaguzi mkuu zime anza katika Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo.

Serikali ya shirikisho leo imetangaza kuanzishwa kwa vituo vyakusomea vya vyuo vikuu, katika vitongoji vya nje ya miji mikubwa. Vituo vipya thelathini na nne, vita anzishwa katika…
