SBS Swahili - SBS Swahili cover art

Podcast

SBS Swahili - SBS Swahili

1,008 episodesLatest 2 days agoNew episode
Recorded in AustraliaAbout AustraliaSwahiliNewsDaily NewsSociety & Culture
Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili

Episodes — page 51

  1. Taarifa ya Habari 28 Julai 2023

    Serikali ya shirikisho imetangaza ita wasilisha tena muswada wayo mhimu wa nyumba, vikao vya bunge vitakapo anza tena kutoka likizo yake ya majira ya baridi wiki ijayo jumatatu 31…

    06:19
  2. Mkataba wa DP World na serikali ya Tanzania wazua upinzani mkali

    Bunge la Tanzania limeridhia mkataba wa uendeshaji wa bandari nchini humo kati ya Serikali ya Tanzania na ya Dubai.

    11:05
  3. Taarifa ya Habari 25 Julai 2023

    Waziri Mkuu Anthony Albanese, amesema Australia inahitaji jiandaa kwa msimu wa moto wa vichaka ujao, wakati mioto ya vichaka inaendelea kuchoma maeneo ya Kaskazini ya dunia.

    17:05
  4. Gov Khalif "asilimia 60 ya Mandera iko chini ya udhibiti wa Al Shabaab"

    Gavana wa Kaunti ya Mandera Mohamed Adan Khalif, amesema asilimia 60 ya kaunti yake iko chini ya udhibiti wa Al Shabaab.

    07:12
  5. Taarifa ya Habari 23 Julai 2023

    Mfumo wa sera ya nyumba jimboni Victoria, wapokewa kwa hisia mseto na baadhi ya wadau jimboni humo.

    16:37
  6. Taarifa ya Habari 22 Julai 2023

    Mweka hazina wa taifa Jim Chalmers ametetea mfumo mpya wa ustawi wakitaifa wa serikali, katika jibu kwa ukosoaji kuwa baadhi ya data inayo tumiwa imepitwa na wakati.

    05:43
  7. Germain "nataka leta aina mpya ya siasa DRC"

    Kampeni za uchaguzi mkuu zime anza katika Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo.

    16:44
  8. Taarifa ya Habari 18 Julai 2023

    Serikali ya shirikisho leo imetangaza kuanzishwa kwa vituo vyakusomea vya vyuo vikuu, katika vitongoji vya nje ya miji mikubwa. Vituo vipya thelathini na nne, vita anzishwa katika…

    17:21
Now Playing