
Podcast

Wauguzi na wakunga kote jimboni New South Wales, wanao ondoka kazini leo Jumanne 10 Septemba, kinyume na amri za tume ya mahusiano ya serikali ya viwanda kusitisha mgomo maramoja.

Understanding and respecting Indigenous knowledge of medicine may be the key to providing more holistic and culturally sensitive care in today's healthcare setting. - Kuelewa nakuh…

Jifunze jinsi yakuzungumza kuhusu marejesho ya ushuru. Pia jua jinsi punguzo ya ushuru inaweza kusaidia kupunguza bili yako ya ushuru.

Ushirikina umefanywa kwa mufa mrefu kote nchini Uganda.

Idadi ya wanafunzi wakimataifa itawekewa vikomo mwaka ujao, serikali inapojaribu kupunguza uhamiaji wa ng’ambo.

Data ya hivi karibuni imeonesha kwa sasa ni ghali zaidi kununua nyumba Adelaide au Perth kuliko Melbourne.

Jumuia yawa Kenya wanao ishi Victoria, ina omboleza vifo vya wanachama watatu walio aga dunia ndani ya siku 10.

Kampuni ya ndege ya Singapore Airlines itakuwa kampuni ya kimataifa ya kwanza kutumia uwanja mpya wa ndege wa Magharibi Sydney. Qantas ime ahidi tayari kutumia uwanja huo wa ndege,…

Jifunze jinsi yakuzungumza kuhusu historia ya utamaduni wako. Pia jua kwa nini Australia Day inaendelea kuwa siku ya maandamano kwa wa Australia wa kwanza.

Mamlaka yasiyo ya kawaida yanayo ruhusu jeshi la polisi, kusimamisha ghafla nakufanya msako kwa watu jimboni Queensland yame ongezwa.

Mgogoro wakidiplomasia ume zuka kati ya Mali na Ukraine baada ya viongozi wa taifa hilo la Magharibi Afrika, kuishtumu taifa hiyo ya Mashariki ya Ulaya kuhusika katika shambulio nc…

Wazazi wapya hivi karibuni wataweza anza pokea malipo yao ya uzeeni juu ya malipo ya likizo ya wazazi yanayo wekezwa na serikali, sheria ziki tarajiwa kuwasilishwa ndani ya bunge l…

Jifunze jinsi yaku uliza maswali, unapo tazama nyumba unayo tarajia ku kodi.

Kesi mpya ya kirusi cha mpox imeripotiwa nchini Pakistan, baada ya kesi kama hiyo kuripotiwa nchini Sweden.

Kiongozi wa chama cha Greens Adam Bandt amesema utafiti mpya ulio agizwa na chama chake una onesha kuwa wa Australia wanao fanya kazi za kawaida hawa wezi mudu kununua nyumba zao w…

Usiku wa 13 Agosti 2004 takriban watu 166 wali uawa kikatili, na mamia kujeruhiwa ndani ya kambi ya wakimbizi ya Gatumba, Burundi.

Kiongozi wa upinzani Peter Dutton ame shtumiwa kwa ubaguzi na kuchochea mgawanyiko na baadhi ya wabunge ambao wame kosoa wito waku wazuia wa Palestina ambao wame kwama Gaza kuingia…

Kutoa mazingira salama na jumuishi ni dhamira ya msingi ya kila jumuiya ya shule ya Australia.

Mfalme wa muziki wa DR Congo Koffi Olomide ame anza ziara ya tamasha Australia.

Viongozi wa Marekani na Uingereza wanaweza jiondoa katika makubaliano ya manowari yaliyofanywa na Australia chini ya mpangilio wa AUKUS, kwa kutoa onyo la mwaka mmoja tu kulingana…
