
Podcast

Serikali ya Shirikisho ya tetea takwimu zake za utoaji wa ajira milioni moja, wakati upinzani una sisitiza kuwa asilimia kubwa ya ajira hizo zime fadhiliwa na serikali ya shirikish…

Wanafunzi na wahamiaji wengi kutoka Afrika Mashariki haswa Kenya, wame kuwa waki kabiliwa kwa changamoto yaku thibitisha uwezo wao wakuzungumza Kiingereza nchini Australia kabla ya…

Mawaziri wa afya wa Australia wame idhinisha mchakato wa haraka, kwa madaktari waliofunzwa ng'ambo kuanza kufanya kazi kote nchini.

Viongozi wa shirika la Kenyans in Sydney Welfare Association kwa ushirikiano na mashirika mengine yawakenya wanao ishi mjini Sydney wali andaa kongamano la wanafunzi.

Wa Australia wanaweza lipishwa zaidi watakapo enda tena kuweka petroli ndani ya gari zao ila, mweka hazina wa taifa ame wahamasisha wauzaji wa reja reja wasi wadhulumu wateja.

Nchi kadhaa barani Afrika zina endelea kuongeza ushirikiano na China, ambayo kwa upande wayo ina toa zawadi mbali mbali kwa nchi hizo.

Wa Australia wanao rejea nchini kutoka Lebanon katika ndege za kwanza zilizo kodishwa na serikali ya shirikisho wame wasili mjini Sydney.

Wikendi iliyopita wakenya wanao ishi Sydney, New South Wales walijumuika katika kitongoji cha Chester Hill kwa mkutano maalum.

Maelfu ya wa Australia wenye asili ya Afrika, kwa mwaka mwingine wali jumuika katika viwanja vya Sydney Olympic Park kuhudhuria tamasha ya Africultures.

Idara ya Afya ya New South Wales ina wahamasisha watu wanao stahiki wapate dozi zao mbili za chanjo za mpox sasa hivi, wasiwasi unapo endelea kuwa kuhusu ongezeko ya kesi na wanao…

Kununua nyumba kawaida ni moja ya ununuzi mkubwa katika maisha ya mtu.

Waangalizi wa watumiaji wa Australia wanatarajiwa kupokea jeki ya dola milioni 30, kuchukua hatua kwa matendo ya kuongeza bei kutoka kwa maduka makubwa na wauzaji reja reja.

Sekta ya elimu ya juu nchini Australia, ina thamani yama bilioni ya dola.

Mswada wa serikali ya shirikisho waku ongeza malipo ya uzeeni katika likizo ya wazazi yenye malipo ime idhinishwa na bunge.

Kwa mara nyingine uchaguzi mkuu wa Sudan Kusini ume ahirishwa hadi Disemba 2026.

Idadi ya wanafunzi wakimataifa itapunguzwa mwaka ujao, serikali inapojaribu kupunguza uhamiaji wa ng’ambo.

Mwanaume anaye shukiwa kuhusika katika jaribio laku muuwa Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump, amefunguliwa mashtaka ya uhalifu wakutumia bunduki.

Wanachama wa jumuiya yawa Afrika wanao ishi Canberra, ACT wanajiandaa kushiriki katika kombe la Afrika kesho Jumamosi 14 Septemba 2024.

Mdhibiti wa vyombo vya habari nchini, atapewa mamlaka yakuchukua hatua dhidi ya makampuni ya teknolojia kama Meta na X, kwa usambazaji wa habari potofu na habari feki katika mitand…

Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania kimetishia kuanzisha maandamano makubwa zaidi, tangazo linalokuja baada ya kutuhumu mamlaka kwenye taifa la Afrika Mashariki kwa kuwauua na…
