SBS Swahili - SBS Swahili cover art

Podcast

SBS Swahili - SBS Swahili

1,008 episodesLatest 1 day agoNew episode
Recorded in AustraliaAbout AustraliaSwahiliNewsDaily NewsSociety & Culture
Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili

Episodes — page 26

  1. Tafakari, na wito wakuchukua hatua, katika siku ya Kitaifa yakusema Pole

    Matukio yame fanyika kote nchini Kuadhimisha Siku ya Kitaifa yakuomba msamaha 26 Mei, hatua ambayo ni kukiri kuondolewa kwa lazima kwa watoto wa Mataifa ya Kwanza kutoka kwa famili…

    09:22
  2. Taarifa ya Habari 26 Mei 2025

    Waziri Mkuu Anthony Albanese amesema hatua ya Israel kuzuia msaada “hai kubaliki kabisa”. Israel ina ruhusu msaada mdogo wakibinadam kuingia Gaza, baada ya takriban miezi mitatu ya…

    06:33
  3. UNHCR yaomba msaada kwa wakimbizi wa Sudan Kusini walio DRC

    Ukosefu wa vyakula na bidhaa zingine muhimu, umelazimisha UNHCR kuomba msaada wa dharura kwa wakimbizi wenye asili ya Sudan Kusini, walio kimbilia DRC.

    06:53
  4. Taarifa ya Habari 22 Mei 2025

    Kiongozi wa New South Wales, Chris Minns, amesema rasilimali za ziada zinatolewa kwa jumuiya ambazo zime athiriwa kwa mafuriko, katika eneo la kati ya pwaZaidi ya idadi ya watu elf…

    05:38
  5. SBS Learn Eng pod 84 Jinsi ya kuelezea uwezo wako waku kimbia (Med)

    Je, unajua jinsi ya kuzungumzia sifa zako za kukimbia au kufanya riadha?

    14:33
  6. Jinsi ya kufurahia maeneo ya nyika ya Australia kwa kuwajibika

    Mandhari yakupendaza na tofauti ya Australia, kuanzia pwani hadi jangwani na yote yaliyo katikati, ni nyumbani kwa mimea ya asili na wanyama wakushangaza.

    14:12
  7. Taarifa ya Habari 20 Mei 2025

    Jimbo la Victoria lina tarajia kupata ziada yake ya kwanza tangu janga la UVIKO-19, wakati serikali ya Allan itakapo toa bajeti ya jimbo hii leo Jumanne 20 Mei 2025.

    17:59
  8. Watu wakujitolea wana jukumu kubwa nchini Australia, ila idadi yao inapungua

    Wiki ya kitaifa yakujitolea ime anza, ita kuwa kuanzia 19 Mei hadi 25 Mei 2025.

    10:42
  9. Taarifa ya Habari 16 Mei 2025

    Kiongozi wa Upinzani wa Shirikisho Sussan Ley, amesema kuungana tenana wanawake itakuwa kipaumbele chake kama kiongozi wa Upinzani wa shirikisho.

    15:11
  10. Jeremiah "wahafidhina wanastahili acha kutumia Biblia kutafuta kura zetu"

    Baadhi ya wanachama wa jumuiya yawa Afrika wanao ishi Melbourne, Victoria wame kuwa waki kabiliana na wakati mgumu katika kipindi cha kampeni za uchaguzi wa jimbo na shirikisho.

    07:10
  11. Taarifa ya Habari 13 Mei 2025

    Sussan Ley ame chaguliwa kuwa kiongozi wa chama cha Liberal. Bi Ley alikuwa Naibu Kiongozi wa chama hicho cha Liberal, alimshinda mpinzani wake mwekahazina kivuli Angus Taylor, kat…

    17:28
  12. Nafasi za baraza la waziri za tangazwa: Nani yuko ndani, nani yuko nje?

    Tanya Plibersek ame shushwa cheo nakupewa wizara ya Huduma za Jamii, wakati Anthony Albanese anatangaza baraza lake la mawaziri, atakao fanya kazi nao katika muhula wake wa pili se…

    09:13
  13. Taarifa ya Habari 9 Mei 2025

    Anthony Albanese akosolewa kwa kumshasha cheo waziri pekee Muislamu katika baraza lake la mawaziri, wakati vyama vya upinzani vya ongeza juhudi yaku wachagua viongozi wao wapya.

    18:08
  14. Adam Bandt akubali kushindwa, asema chama cha Greens kili feli ku kwea mlima Everest

    Adam Bandt amekubali ameshindwa nakupoteza kiti chake cha Melbourne bungeni, katika matokeo ambayo yame acha chama cha Greens bila kiongozi.

    08:19
  15. Taarifa ya Habari 8 Mei 2025

    Waziri Mkuu Anthony Albanese amesema mtazamo wa mhula wa pili wa serikali ya Labor, utakuwa kuimarisha mahusiano na washiriki walio ng’ambo, kuhakikisha utulivu wa kiuchumi nyumban…

    06:13
  16. Betty afunguka kuhusu jinsi yaku badilisha viza yako ukiwa Australia

    Wanafunzi wengi wakimataifa wame wasili nchini Australia, kupitia msaada wa mawakala wa uhamiaji.

    09:09
  17. Chama cha Greens cha kabiliana na matokeo yakukatisha moyo katika uchaguzi wa shirikisho

    Chama cha Greens kina onekana kuwa na viti vichache zaidi ndani ya nyumba ya chini baada ya matokeo ya uchaguzi wa shirikisho wa wikendi iliyo pita ila, wanaweza shikilia usawa wa…

    19:28
  18. Taarifa ya Habari 6 Mei 2025

    Anthony Albanese ata anza muhula wake wa pili kama Waziri Mkuu akiwa na serikali ya wengi, baada ya ushindi mkubwa wa chama cha Labor, chama chake kilishinda viti 86 bungeni.

    16:29
  19. Albanese ashinda uchaguzi wa Shirikisho 2025

    Chama cha Labor kime shinda uchaguzi wa shirikisho wa 2025 na, kita unda serikali.

    04:55
  20. Taarifa ya Habari 2 Mei 2025

    Uchambuzi mpya umetabiri Upinzani wa mseto utapitia uzoefu mubaya zaidi wa matokeo katika muda wa miaka 80 katika uchaguzi mkuu wa kesho.

    18:30
Now Playing