SBS Swahili - SBS Swahili cover art

Podcast

SBS Swahili - SBS Swahili

1,008 episodesLatest 1 day agoNew episode
Recorded in AustraliaAbout AustraliaSwahiliNewsDaily NewsSociety & Culture
Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili

Episodes — page 25

  1. Taarifa ya Habari 19 Juni 2025

    Ulaya imechukua nafasi yaku fanya mashauriano na Iran, mawaziri wa mambo ya nje wa Uingereza, Ujerumain na Ufaransa wanazungumza na mshirika wao kutoka Iran.

    05:30
  2. Wakimbizi wafunga magoli na kujenga madaraja

    Wachezaji wa soka katika mashindano mjini Perth, wanafanya mengi zaidi yakufunga magoli, wanajenga madaraja kati ya jamii naku mulika nguvu ya jamii zawakimbizi wa Magharibi Austra…

    07:55
  3. Taarifa ya Habari 17 Juni 2025

    Waziri Mkuu Anthony Albanese amefanya mikutano na rais mpya wa Korea Kusini, pamoja na katibu mkuu wa NATO pembezoni mwa mkutano wa G7.

    15:57
  4. Vyombo vya habari hufanyaje kazi nchini Australia?

    Uhuru wa vyombo vya habari na vyombo vya habari tofauti ni alama muhimu ya afya nzuri ya demokrasia ambako raia na waandishi wa habari wana mamkalaka ya kujielezeza, kupata taarifa…

    18:34
  5. Taarifa ya Habari 16 Juni 2025

    Waziri Mkuu Anthony Albanese, amesema mazungumzo kati yake na mshiriki wake kutoka Canada katika mkutano wa G7, ilikuwa fursa yaku imarisha tena uhusiano kati ya nchi hizo mbili.

    07:07
  6. Socceroos wafuzu kucheza katika Kombe la Dunia baada ya kuishinda Saudi Arabia

    Wiki hii timu ya mpira wa miguu ya taifa Socceroos, ili fuzu kwa Kombe la Dunia tena baada yakupata ushindi dhidi wenyeji wao Saudi Arabia.

    07:31
  7. Taarifa ya Habari 13 Juni 2025

    Balozi wa zamani wa Australia nchini Marekani, Arthur Sinodinos, amesema mkataba wa AUKUS unastahili kuwa kipaumbele kikuu katika mkutano kati ya Waziri Mkuu Anthony Albanese na Ra…

    15:47
  8. Jinsi ya kuepuka ulaghai wa mapenzi nchini Australia

    Mwaka jana pekee, zaidi ya kesi 3200 za ulaghai wa mapenzi zili ripotiwa nawa Australia.

    13:10
  9. Taarifa ya habari 10 Julai 2025

    Kiongozi wa Tasmania wa chama cha Liberal anatarajiwa kuitisha rasmi uchaguzi wa mapema hii leo, hatua itakayo rejesha jimbo hilo la kisiwa katika uchaguzi wa pili katika muda wa m…

    15:32
  10. Miaka 50 ya SBS- Waandishi wa habari waelezea nyakatu muhimu

    SBS ina sherehekea miaka 50.

    08:00
  11. Zambia ya mpoteza Rais mstaafu Edgar Lungu

    Rais wa zamani wa Zambia, Edgar Lungu amefariki akiwa na umri wa miaka 68.

    07:01
  12. Taarifa ya Habari 6 Juni 2025

    Bunge ya Tasmania yapitisha kura yakutokuwa na imani kwa kiongozi wa jimbo hilo Jeremy Rockliff. Mswada huo ulio wasilishwa na kiongozi wa chama cha Labor Dean Winter, ulipita kwa…

    17:34
  13. Australia Yafafanuliwa: Unaweza zingatia kumteua mtu kwa tuzo ya Order of Australia?

    Unajua mtu anaye toa mchango usio wa kawaida katika jamii? Anaweza kuwa mtu kutoka mazingira yoyote, au mwenye taaluma yoyote.

    12:26
  14. Taarifa ya Habari 5 Juni 2025

    Marekani imetumia kura yake ya turufu dhidi ya azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, lililo kuwa likiomba kusitishwa kwa vita pamoja na misaada yakibinadam kuruhusiwa ku…

    05:45
  15. Wito watolewa kwa hatua ya ziada kuchukuliwa kushughulikia gharama ya janga yaki asili

    Uchambuzi mpya wa hazina ume onesha gharama ya Kimbunga Alfred na mafuriko mengine katika majimbo ya New South Wales na Queensland imefika takriban $2.2 bilioni dollars.

    10:14
  16. Taarifa ya Habari 3 Juni 2025

    Seneta Dorinda Cox wa Magharibi Australia ametangaza anahama kutoka chama cha Greens, na atakuwa Seneta wa chama cha Labor hii leo Juni 3.

    19:30
  17. Who are the Stolen Generations? - Vizazi vilivyo ibiwa ni kina nani?

    Australia has a dark chapter of history that many are still learning about. Following European settlement, Aboriginal and Torres Strait Islander children were removed from their fa…

    10:26
  18. Taarifa ya Habari 30 Mei 2025

    Wakati inaweza chukua zaidi ya mwaka kwa baadhi ya madai ya bima ya mafuriko kutatuliwa, malipo ya mara moja kwa walio athirika jimboni New South Wales yata anza kutolewa leo 30 Me…

    15:10
  19. Warudiana tena: mkataba mpya wa upinzani wa mseto baada ya siku nane zaku achana

    Siku nane baada ya upinzani wa mseto kuachana, vyama vya Liberal na Nationals vime tangaza kuwa vime rudiana tena.

    08:37
  20. Taarifa ya Habari 27 Mei 2025

    Idadi ya nyumba zilizo haribika kabisa katika mafuriko jimboni New South Wales imeongezeka mara mbili nakufika takriban 800. Huduma ya dharura ya jimbo [[SES]] imesema nyumba 794 k…

    16:56
Now Playing