Changu Chako, Chako Changu
Changu Chako Chako Changu: Zanzibar yavunja rekodi ya utamaduni wa kufturisha artwork

Changu Chako Chako Changu: Zanzibar yavunja rekodi ya utamaduni wa kufturisha

Changu Chako, Chako Changu
20:01
Play episode

Show notes

Karibu katika Makala yetu ya leo Changu Chako Chako Changu, makala ambayo hukuletea Historia ya mambo mbalimbali utamaduni, le parler francophone na Muziki, ambapo leo nakupeleka huko Visiwani Zanzibar kuzungumzia utamaduni wa kufturisha ambapo JMarch 7 umati wa watu ulijitokeza kuhudhuria Iftar ilioandaliwa kwa mara ya kwanza kwenye ngazi ya Kitaifa. Tutahitimisha na Muziki kutoka visiwani Zanzibar. Ali Bilali ninakukaribisha karibu, ama bienvenue. Utamaduni wa kufturisha ni zoezi la kijamii na kidini katika Uislamu ambapo waumini wenye uwezo hutoa chakula na vinywaji kwa waliofunga (wengine) wakati wa kuvunja saumu (futari) katika mwezi mtukufu wa Ramadhani. Inalenga kuimarisha umoja, kusaidia wenye uhitaji, kueneza upendo, na kupata thawabu kwa kushirikiana na wengine. Utamaduni huu hufanyika kila mwaka visiwani Zanzibar, kwenye ngazi mbalimbali, kijamii, kitaasisi, lakini mwaka huu imeandaliwa Iftar ya Kitaifa, kwa mujibu wa ofisi ya mtakwimu mkuu wa serikali Zanzibar watu 27345 kati yao wanaume ni elfu 18 771 sawa na asilimia 68.6 wanawake 8.574 sawa na asilimia 31.4 walijitokeza kwa ajili ya kufaanikisha, chini ya mgeni rasmi mwenyekiti wa baraza la mapinduzi ambae pia ni rais wa Zanzibar.

More from this show

More
  1. Changu Chako: Historia ya watu wa kabila la Wahehe sept 6 2026

    Karibu katika makala yetu ya leo Jumapili Changu Chako Chako Changu. Makala haya hukuletea Historia na tamaduni ya makabila mbalimbali, le Parler francophone na Muziki, ambapo leo…

    20:00
  2. Changu chako historia ya waswahili wa Burundi harakati za kumtambuwa mswahili sehemu ya 3 Agost 30

    Karibu katika makala changu chako chako chako changu Jumapili ya leo nakuletea sehemu ya 3 na ya mwisho ya historia ya waswahili wa Burundi, ambapo sehemu ya mwisho mgeni wetu atat…

    20:03
  3. Changu Chako: Historia ya waswahili wa Burundi katika harakati za Uhuru agost 23 2026

    Karibu katika Makala changu chako chako change, Makala ambayo hukuletea historia ya mambo mbalimbali, utamaduni le parler francophone na Muziki ambapo leo nakuletea sehemu ya pili…

    19:56
  4. Changu chako chako changu: Historia ya waswahili wa Burundi Agost 16

    Karibu katika Makala haya yanayozungumzia historia ya waswahili wa Burundi. Mntangazaji wako Ali Bilali alikutana na mwanahistoria kutoka Buyenzi Mzee Anzuruni ambae anaeleza kwa k…

    19:53
  5. Historia yaandikwa DRC kwa kuendeshwa baiskeli, ustadi wa tafsiri ya lugha

    Makala hii imeangazia mwanariadha na mwendesha baiskeli mashuhuri Miguel Masaisai alivyoandikisha historia kwa kusafiri na baiskeli yake kwa muda wa miezi mitatu kutoka Goma hadi m…

    20:17
  6. Changu Chako: Historia ya watu wa kabila la Wabembe na kifo cha mwanamuziki Mr Gave

    Karibu katika Makala yrtu ya leo jumapili change chako chako change Makala ambayo hukuletea historia ya mambo mbalimbali, utamaduni le parler francophone na Muziki ambapo leo nakul…

    20:01
Now Playing