
Podcast

Hali ya dharura ime anza kutumika nchini Venezuela baada ya matetemeko mawili makubwa ya ardhi, yaliyotokea magharibi mwa mji mkuu wa Caracas, na kuua watu wasiopungua 32 pamoja na…

In a recent study of LGBTQIA+ asylum seekers and refugees, nature was used not just as a meeting place, but as an environment where participants felt safe without being questioned…

Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, imetahadharisha umma kuhusu kuenea kwa kasi kwa ugonjwa wa Ebola.

Lionel Messi amekuwa mfungaji bora wa muda wote wa Kombe la Dunia, akifunga mara mbili nakusaidia Argentina kuishinda Austria 2-0 mjini Dallas, na kujihakikishia nafasi ya kwanza k…

Chama cha Greens kimeita mpango wa serikali wa kurekebisha Mpango wa Kitaifa wa Bima ya Watu Wenye Ulemavu kuwa sheria 'isiyo ya kibinadamu'.

Je, unajua jinsi yakuzungumza kuhusu chakula cha starehe wakati wa majira ya baridi?

Bunge la Shirikisho limerejea kwa vikao vya mwisho vya wiki mbili kabla ya mapumziko marefu ya majira ya baridi ya wiki tano.

Polisi wamekamata tani 2.7 za kokeni katika kile kinachoelezwa kuwa unyakuaji mkubwa zaidi wa kokeni kuwahi kutokea nchini Australia.

Mexico ime ingia katika hatua ya mchujo, baada ya kuishinda Jamhuri ya Korea katika siku ambayo iliadhimishwa na jeraha kubwa nchini Canada.

Mafanikio ya awali ya Socceroos katika Kombe la Dunia, yameangazia tena hadithi za mafanikio za Australia yenye tamaduni nyingi.

Rais wa Marekani Donald Trump alisaini makubaliano na Iran jana Jumatano ambayo yanaitaka Jamhuri hiyo ya Kiislamu kupunguza kiwango cha akiba yake ya madini ya urani iliyorutubish…

Mashabiki wa soka wana endelea kupata burudani kupitia Kombe la Dunia la FIFA 2026 linalo andaliwa nchini, Canada, Marekani na Mexico.

Afrika Kusini imewarejesha makwao raia wa kigeni 2,745, ndani ya wiki moja baada ya rais wa taifa hilo ku ahidi kuchukua hatua kali dhidi ya wahamiaji haramu.

Polisi wanachunguza ajali iliyotokea kusini-magharibi mwa Sydney usiku wakuamkia, ambayo imesababisha vifo vya watoto wawili wenye umri wa mwaka moja na miaka mitano.

Hearings for the Royal Commission on Antisemitism and Social Cohesion have revealed many victims and perpetrators of antisemitism in Australia are children. How do we discuss the i…

Mabadiliko katika kodi ya faida ya mtaji yatapunguza uzalishaji na kuifanya Australia isiwe na ushindani mkubwa, makundi ya biashara yanasema, huku hatua za bajeti zenye utata ziki…

Mshtuko wa kwanza mkubwa wa Kombe la Dunia la FIFA umeshuhudiwa, baada ya timu ambayo inadhaniwa ina nafasi kubwa yakushinda michuano hiyo, kunyimwa ushindi na Cabo Verde wanao shi…

What are the rules around raising money and charities? How can you ensure you don't get scammed? Here is what you need to know if you're donating, raising money yourself or launchi…

Ujerumani umeanza vyema kampeni yao ya Kombe la Dunia la 2026, ikiwashinda Curaçao inayo shiriki katika michuano hiyo kwa mara ya kwanza kwa mabao 7-1 katika Kundi E katika Uwanja…

Iran imethibitisha kwamba vita kati ya Marekani na Israeli katika nyanja mbalimbali Mashariki ya Kati vita isha usiku wa leo.
