
Podcast

Kila mwezi makumi yama elfu ya wahamiaji huwasili katika miji mbali mbali nchini Australia.

Benki kuu ya Australia imeacha kiwango cha hela taslim kwa 4.1% kwa mwezi wa nne mfululizo.

Inapofika wakati waku aga gari yako ya zamani, kuna mengi yakufanya zaidi yaku iosha, kutoa kitabu cha ukarabati pamoja nakupokea malipo.

Seneta wa chama cha Greens Jordan Steele-John amesema panastahili kuwa waziri washirikisho wa ulemavu, anaye stahili ongoza utekelezwaji wa mapendekezo kutoka tume yakifalme kwa ul…

Kiongozi wa upinzani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Martin Fayulu, Jumamosi alithibitisha kugombea urais kwenye uchaguzi wa tarehe 20 Disemba 2023.

Daniel Andrews ametangaza uamuzi wake wakujiuzulu kama kiongozi wa Victoria.

Kuwa raia wa Australia ni uzoefu wa kusisimua na wenye zawadi kwa wahamiaji wengi.

Tamasha ya Africultures hutoa fursa nyingi kwa wajasiriamali kukutana na kupata wateja wapya.

Serikali imesema haita piga hatua nyuma kwa pendekezo la sauti yawa Australia wa kwanza bungeni, licha ya matokeo mapya ya kura ya maoni ambayo yanaonesha hali si nzuri kwa kura ya…

Kiongozi wa upinzani wa shirikisho Peter Dutton amesema atafanya kura nyingine ya maoni, kama kura yakuweka sauti yawa Australia wa kwanza bungeni ndani ya katiba inafeli.

Waziri wa mazingira Tanya Plibersek amekosoa msimamo wa kiongozi wa upinzani Peter Dutton kwa Sauti yawa Australia wa kwanza bungeni.

Kiongozi wa upinzani Peter Dutton amesema uamuzi wa serikali ya Labor kukataa ombi la shirika la ndege la Qatar, kuongeza huduma zaidi nchini Australia kuta wadhuru wa Australia.

Jumuiya zawa Afrika wanao ishi mjini Sydney, walijumuika katika viwanja kwa Sydney Olympic Park kwa tamasha ya Africultures 2 Septemba 2023.

Brian 'Swagga Boy' Agina ni bondia mwenye asili ya Kenya anaye ishi jimboni Victoria, Australia.

Wanachama wa jumuiya yawa Kenya wanao ishi jimboni Victoria, hivi karibuni walishiriki katika tamasha ya tamaduni zao.

Waziri Mkuu Anthony Albanese, ajiaandaa kutangaza tarehe ya kura ya moani kwa Sauti yawa Australia wa Kwanza bungeni.

Australia ni nyumbani kwa baadhi ya wanyamapori wa aina mbalimbali na wanaovutia duniani, matokeo ya kutengwa kwa Australia kama bara na historia yakipekee ya mageuzi ambayo yameto…

Wanajeshi na wanamgambo 6 kutoka DR Congo na Rwanda wame wekewa vikwazo na Marekani kwa madai yaku chochea mizozo katika mashariki mwa Congo.

Wapenzi wa mchezo wa mpira wa miguu kote duniani, walijumuika mbele ya runinga zao kutazama fainali ya Kombe la Dunia la FIFA kutoka mjini Sydney, Australia.

Waziri Mkuu Anthony Albanese amesema kampeni ya La kwa sauti yawa Australia wa kwanza bungeni, inajaribu kupotosha watu dhidi yakuwatambua wa Australia wa kwanza nakuanzisha tume y…
