
Podcast

Unaweza sikia wito huu katika maandamano, “tuna taka nini? Haki za ardhi!” ila wito huo una maana gani?

Australia ita tambua Palestina kama taifa katika mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa wa Septemba.

Waziri wa mambo ya nje Penny Wong ame muhamasisha Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu, asikize wito wakisitisha vita mara moja Gaza.

Sherehe ya Garma katika Kijiji cha Kaskazini Mashariki Arnhem Land, cha Wilaya ya Kaskazini, ime tamatika kwa mwaka mwingine.

Je, unajua jinsi ya kuzungumza kuhusu nyumba yako?

Serikali ya shirikisho imetangaza msaada kwa Gaza uta ongezwa kwa $20 milioni hii leo Jumatatu 4 Agosti, masaa machache baada yamakumi yama elfu kutembea katika Daraja maarufu la b…

Wapenzi wa soka barani Afrika wana elekea Kenya, Uganda na Tanzania kuhudhuria michuano ya Afrika iliyo ahirishwa mwaka jana.

Kenya imepinga sheria mpya za biashara na kodi za Tanzania ikizitaja kuwa za kibaguzi na zinazohatarisha ushirikiano wa kiuchumi Afrika Mashariki.

Waziri Mkuu Anthony Albanese ana enda kuhudhuria tukio kubwa linalo waleta pamoja wa Australia wa Asili katika wilaya ya Kaskazini.

Je, unajua jinsi ya kuzungumza kuhusu nyumba yako?

Biashara ya nyumbani inaweza sikika kuwa yakuvutia kwa wengi. Ina punguza gharama, inatoa fursa mbali mbali, inafaa taaluma tofauti, na silazima kazi hiyo ifanyiwe ofisini.

Wanafunzi milioni tatu nchini Australia wata punguziwa deni zao za elimu, hii ni baada ya muswada wa Labor ulio tazamiwa sana kupitishwa bungeni hii leo.

Waziri Mkuu Anthony Albanese amesema anaendeleza juhudi zakupunguza shinikizo za gharama ya maisha, akimulika mpango wakupunguza bei za madawa.

Kuna aina nyingi ya magonjwa yanayo athiri akili, baadhi yanaweza tibiwa na mengine hayana tiba.

Kuna aina nyingi ya magonjwa yanayo athiri akili, baadhi yanaweza tibiwa na mengine hayana tiba.

Australia imefanya makubaliano makubwa na Marekani katika jaribio lakupewa msamaha wa ushuru, kwa kuondoa Marufuku kwa nyama ya Marekani. Hadi sasa, marufuku hiyo ilitumiwa kwa nya…

Elimu ni njia yakupata fursa ila, kwa muda mrefu wanafunzi wa Asili nchini Australia, wame kabiliana na vizuizi vya kupata mafanikio.

Australia imefanya makubaliano makubwa na Marekani katika jaribio lakupewa msamaha wa ushuru, kwa kuondoa Marufuku kwa nyama ya Marekani. Hadi sasa, marufuku hiyo ilitumiwa kwa nya…

Wanachama wa jamii zenye asili ya Afrika wanao ishi jimboni New South Wales, wame ungana kuunda shirika linalo toa fursa za uwekezaji wa muda mrefu.

Je, unajua jinsi yaku zungumza kuhusu kusoma na vitabu?
