SBS Swahili - SBS Swahili
Understanding treaty in Australia: What First Nations people want you to know - Mkataba wa amani: Una maana gani na Una manufaa gani artwork

Understanding treaty in Australia: What First Nations people want you to know - Mkataba wa amani: Una maana gani na Una manufaa gani

SBS Swahili - SBS Swahili
05:32
Play episode

Show notes

Australia is home to the world’s oldest living cultures, yet remains one of the few countries without a national treaty recognising its First Peoples. This means there has never been a broad agreement about sharing the land, resources, or decision-making power - a gap many see as unfinished business. Find out what treaty really means — how it differs from land rights and native title, and why it matters. - Waingereza walipowasili Australia walitangaza ardhi kuwa ‘terra nullius’ kumaanisha ardhi isiyomilikiwa na yeyote. Hawakuona haja ya kuzungumza na mataifa ya waaboriginals na kwa hivyo wenyeji wa Australia wanasema kwamba hii ni biashara ambayo haijakamilika.

More from this show

More
  1. Yaliyojiri Afrika: Human Rights Watch "Ukosefu wa uchunguzi wa kina na kufunguliwa mashtaka dhidi yawahusika kunaweza endeleza uhalifu nchini Kenya"

    Shirika lakutetea haki za binadam la Human Rights Watch lime onya kuwa, makundi ya watu wenye silaha yame endesha mifululizo yamashambulizi dhidi ya mikutano yakisiasa na shughuli…

    07:14
  2. Taarifa ya Habari:Serikali ya shirikisho inatetea hatua yake kali ya uhamiaji inayo imarisha sheria kwa wanafunzi wakimataifa na watalii

    Serikali ya shirikisho inatetea hatua yake kali ya uhamiaji, ambayo inaimarisha sheria kwa wanafunzi wa kimataifa na watu ambao wako nchini kwa likizo, inalenga wanao baki nchini z…

    14:51
  3. SBS Learn Eng Ep 119 Jinsi yakuzungumza kuhusu mizio ya majani

    Je, unajua jinsi yakuzungumza kuhusu mizio ya majani?

    12:06
  4. Makala Leo:Ukandamizaji wa uhamiaji: Labor yaimarisha sheria za viza kwa wanafunzi na watalii

    Serikali imefichua mpango wake wa kupunguza uhamiaji halisi wa nje ya nchi hadi watu 225,000 ifikapo 2028, kulingana na utabiri kutoka bajeti ya Mei.

    13:47
  5. Taarifa ya Habari:Wanafunzi wakimataifa kukabiliwa kwa mkakati wa uhamiaji, wenye sheria kali

    Serikali ya shirikisho ime tangaza mabadiliko makubwa katika mfumo wa uhamiaji wa Australia, ikiimarisha sheria kuhusu ni nani anayeweza kuja nchini na ni nani anayeweza baki nchin…

    06:27
  6. Mh Dkt Kosgei afunguka kuhusu alipoanza kuamani kuwa ulemavu si kutoweza

    Mh Dkt Jackson Kosgei ni Askofu mstaafu, na kwa sasa ana hudumu kama mbunge aliyeteuliwa katika bunge la taifa nchini Kenya.

    18:42
Now Playing
Understanding treaty in Australia: What First Nations people want you to know - Mkataba wa amani: Una maana gani na Una manufaa gani — SBS Swahili - SBS Swahili | Podcast | Josplay Music