SBS Swahili - SBS Swahili
Understand Aboriginal land rights in Australia - Elewa haki za ardhi zawa Aboriginal nchini Australia artwork

Understand Aboriginal land rights in Australia - Elewa haki za ardhi zawa Aboriginal nchini Australia

SBS Swahili - SBS Swahili
08:42
Play episode

Show notes

You may hear the protest chant, “what do we want? Land rights!” —but what does it really mean? Land is at the heart of Aboriginal and Torres Strait Islander identity, culture, and wellbeing. Known as “Country,” it includes land, waterways, skies, and all living things. In this episode of Australia Explained, we explore Indigenous land rights—what they involve, which land is covered, who can make claims, and the impact on First Nations communities. - Unaweza sikia wito huu katika maandamano, “tuna taka nini? Haki za ardhi!” ila wito huo una maana gani? Ardhi iko katika kiini cha utambulisho, utamaduni na ustawi wa wa Aboriginal na watu kutoka Visiwa vya Torres Strait. Inajulikana kama “nchi” na inajumuisha ardhi, njia za maji, anga na kila kitu kilicho hai. Katika makala haya ya Australia ya Fafanuliwa, tuta chunguza haki za ardhi zawa Australia wa asili, wanacho husisha, ardhi gani ina funikwa, nani anaweza fanya madai na madhara kwa jamii za Mataifa ya Kwanza.

More from this show

More
  1. Yaliyojiri Afrika: Human Rights Watch "Ukosefu wa uchunguzi wa kina na kufunguliwa mashtaka dhidi yawahusika kunaweza endeleza uhalifu nchini Kenya"

    Shirika lakutetea haki za binadam la Human Rights Watch lime onya kuwa, makundi ya watu wenye silaha yame endesha mifululizo yamashambulizi dhidi ya mikutano yakisiasa na shughuli…

    07:14
  2. Taarifa ya Habari:Serikali ya shirikisho inatetea hatua yake kali ya uhamiaji inayo imarisha sheria kwa wanafunzi wakimataifa na watalii

    Serikali ya shirikisho inatetea hatua yake kali ya uhamiaji, ambayo inaimarisha sheria kwa wanafunzi wa kimataifa na watu ambao wako nchini kwa likizo, inalenga wanao baki nchini z…

    14:51
  3. SBS Learn Eng Ep 119 Jinsi yakuzungumza kuhusu mizio ya majani

    Je, unajua jinsi yakuzungumza kuhusu mizio ya majani?

    12:06
  4. Makala Leo:Ukandamizaji wa uhamiaji: Labor yaimarisha sheria za viza kwa wanafunzi na watalii

    Serikali imefichua mpango wake wa kupunguza uhamiaji halisi wa nje ya nchi hadi watu 225,000 ifikapo 2028, kulingana na utabiri kutoka bajeti ya Mei.

    13:47
  5. Taarifa ya Habari:Wanafunzi wakimataifa kukabiliwa kwa mkakati wa uhamiaji, wenye sheria kali

    Serikali ya shirikisho ime tangaza mabadiliko makubwa katika mfumo wa uhamiaji wa Australia, ikiimarisha sheria kuhusu ni nani anayeweza kuja nchini na ni nani anayeweza baki nchin…

    06:27
  6. Mh Dkt Kosgei afunguka kuhusu alipoanza kuamani kuwa ulemavu si kutoweza

    Mh Dkt Jackson Kosgei ni Askofu mstaafu, na kwa sasa ana hudumu kama mbunge aliyeteuliwa katika bunge la taifa nchini Kenya.

    18:42
Now Playing
Understand Aboriginal land rights in Australia - Elewa haki za ardhi zawa Aboriginal nchini Australia — SBS Swahili - SBS Swahili | Podcast | Josplay Music