← SBS Swahili - SBS Swahili
Taarifa ya Habari: Wito watolewa kutokomeza unyanyasaji wa nyumbani nchini Australia artwork

Taarifa ya Habari: Wito watolewa kutokomeza unyanyasaji wa nyumbani nchini Australia

SBS Swahili - SBS Swahili
05:39
Play episode

Show notes

Ripoti mpya kati ya vizazi imetolewa leo, ikionyesha athari za bajeti ya serikali na mitazamo ya uchumi katika miongo minne ijayo. Naibu Kamishna wa Polisi wa New South Wales Peter McKenna anasema matukio manne tofauti yanayodaiwa kuwa ya unyanyasaji wa nyumbani mwishoni mwa wiki iliyopita yanaonyesha uzito wa janga hilo nchini Australia. Katika tukio lililo ripotiwa katika eneo la Blue Mountains, mvulana wa miaka mitano alikufa, na ndugu zake wawili na mama yake mwenye umri wa miaka 42 walijeruhiwa vibaya baada ya kupatikana na majeraha ya kudungwa visu ndani ya gari katika eneo la Valley Heights. Kenya imetetea makampuni ya ndani yanayoagiza mafuta yaliosafishwa chini ya makubaliano ya serikali kwa serikali, siku chache baada Kampala kudai kuwa mpango huo ulikuwa umetekwa na madalali hali iliyopelekea kupanda kwa bei ya mafuta nchini Uganda. Kwa mujibu wa taarifa ya Waziri wa nishati nchini Kenya, Opiyo Wandayi, kampuni kubwa tatu za mafuta katika nchi za Ghuba zinazouza mafuta yake nchini Kenya, zilichagua kampuni za ndani katika mpango huo na kwamba ikiwa serikali ingesisitiza kuchagua makampuni hayo basi mpango huo ungekufa. Bofya hapo juu kwa taarifa kamili.

More from this show

More
  1. How laws are made, and how they affect you | How Australia Works - Jinsi sheria zinavyotungwa, na jinsi zinavyokuathiri | Jinsi Australia Inavyofanya kazi.

    How are laws made in Australia? Through Wurundjeri Elder Uncle Dave Wandin’s story of the Birrarung, also known as the Yarra River, learn how an idea becomes a bill, passes through…

    09:31
  2. Taarifa ya Habari:Zaidi ya wafanyakazi 460,000 wanatarajiwa kupata ongezeko la mishahara kwa ajili ya usawa wa kijinsia

    Zaidi ya wafanyakazi 460,000 wa afya, ulemavu na huduma za jamii wa Australia wanatarajiwa kuongezwa mishahara, wakati Serikali ya Shirikisho ikitangaza kifurushi cha ufadhili cha…

    15:36
  3. Makala Leo:Wajibu wa Huduma katika Nyanja ya Kidijitali: Greens wataka mamlaka ya kushtaki makampuni makubwa ya teknolojia

    Wakati Bunge likijiandaa kujadili Muswada uliopendekezwa wa Wajibu wa Huduma ya Kidijitali, chama cha Greens kinataka sheria hizo ziende mbali zaidi kwa kuruhusu Waaustralia kuzish…

    08:02
  4. Birth and pregnancy care options in Australia - Australia Yafafanuliwa:Chaguzi za huduma ya uzazi na ujauzito nchini Australia

    If you're first-time parents in Australia, choosing where and how to give birth can feel overwhelming. Whether you go through the public or private health system, it is important t…

    14:07
  5. Taarifa ya Habari:Australia yajiandaa kwa msimu hatari wa moto wa msituni unaosababishwa na "super El Niño"

    Australia inajiandaa kwa kile kinachotarajiwa kuwa msimu hatari wa moto wa msituni unaosababishwa na tukio linaloitwa "super El Niño" pamoja na mabadiliko ya hali ya hewa.

    14:31
  6. Breast screening: What to expect and why it matters - Australia Yafafanuliwa: Uchunguzi wa saratani ya matiti: Nini cha kutarajia na kwa nini ni muhimu

    Regular breast screening can help find breast cancer early, before you notice any signs or symptoms. Screening is free for eligible women or people at risk of breast cancer. It tak…

    14:21
Now Playing