SBS Swahili - SBS Swahili
Public transport in Australia: breaking down the basics - Australia yafafanuliwa:mambo ya msingi kuhusu usafiri wa umma nchini Australia artwork

Public transport in Australia: breaking down the basics - Australia yafafanuliwa:mambo ya msingi kuhusu usafiri wa umma nchini Australia

SBS Swahili - SBS Swahili
08:09
Play episode

Show notes

Like in most countries, public transport in Australia is the cheapest way to get around. It includes trams, buses, trains and ferry services. And each state or territory has its own transport network. However, navigating Australia’s public transport system with ease requires knowing the basics around how it works and what to expect. - Kama ilivyo katika nchi nyingi, usafiri wa umma nchini Australia ni njia ya bei nafuu zaidi ya kusafiri. Unajumuisha tramu, mabasi, treni, na huduma za feri. Kila jimbo au eneo la nchi lina mtandao wake wa usafiri. Hata hivyo, kuzunguka kwa urahisi katika mfumo wa usafiri wa umma wa Australia kunahitaji kujua mambo ya msingi kuhusu jinsi unavyofanya kazi na nini cha kutarajia.

More from this show

More
  1. Yaliyojiri Afrika: Human Rights Watch "Ukosefu wa uchunguzi wa kina na kufunguliwa mashtaka dhidi yawahusika kunaweza endeleza uhalifu nchini Kenya"

    Shirika lakutetea haki za binadam la Human Rights Watch lime onya kuwa, makundi ya watu wenye silaha yame endesha mifululizo yamashambulizi dhidi ya mikutano yakisiasa na shughuli…

    07:14
  2. Taarifa ya Habari:Serikali ya shirikisho inatetea hatua yake kali ya uhamiaji inayo imarisha sheria kwa wanafunzi wakimataifa na watalii

    Serikali ya shirikisho inatetea hatua yake kali ya uhamiaji, ambayo inaimarisha sheria kwa wanafunzi wa kimataifa na watu ambao wako nchini kwa likizo, inalenga wanao baki nchini z…

    14:51
  3. SBS Learn Eng Ep 119 Jinsi yakuzungumza kuhusu mizio ya majani

    Je, unajua jinsi yakuzungumza kuhusu mizio ya majani?

    12:06
  4. Makala Leo:Ukandamizaji wa uhamiaji: Labor yaimarisha sheria za viza kwa wanafunzi na watalii

    Serikali imefichua mpango wake wa kupunguza uhamiaji halisi wa nje ya nchi hadi watu 225,000 ifikapo 2028, kulingana na utabiri kutoka bajeti ya Mei.

    13:47
  5. Taarifa ya Habari:Wanafunzi wakimataifa kukabiliwa kwa mkakati wa uhamiaji, wenye sheria kali

    Serikali ya shirikisho ime tangaza mabadiliko makubwa katika mfumo wa uhamiaji wa Australia, ikiimarisha sheria kuhusu ni nani anayeweza kuja nchini na ni nani anayeweza baki nchin…

    06:27
  6. Mh Dkt Kosgei afunguka kuhusu alipoanza kuamani kuwa ulemavu si kutoweza

    Mh Dkt Jackson Kosgei ni Askofu mstaafu, na kwa sasa ana hudumu kama mbunge aliyeteuliwa katika bunge la taifa nchini Kenya.

    18:42
Now Playing
Public transport in Australia: breaking down the basics - Australia yafafanuliwa:mambo ya msingi kuhusu usafiri wa umma nchini Australia — SBS Swahili - SBS Swahili | Podcast | Josplay Music