


Kwa zaidi ya miongo miwili, Joseph Kabila amekuwa mmoja wa watu wenye ushawishi mkubwa katika siasa za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC).

Polisi wa Victoria wanasema hakuna tishio lolote linaloendelea dhidi ya mtu mwingine au jamii kwa ujumla, kufuatia tukio ambapo Mbunge wa Shirikisho, Helen Haines, aligongwa na gar…

How do laws change in Australia? Through Rodney Croome’s campaigns for human rights and marriage equality, learn how personal stories, community action, courts and parliament can h…

Taasisi ya Grattan inaitaka serikali kuongeza kiwango cha kodi ya bidhaa na huduma (GST) kutoka asilimia 10 hadi asilimia 15, ikiwa ni sehemu ya marekebisho makubwa ya bajeti.

Vijana wa jumuiya zawa Kenya kutoka majimbo na wilaya za Australia, walijumuika mjini Adelaide 3-4 Oktoba kwa michuano ya kombe la Kenya All Stars.

Waziri Mkuu Anthony Albanese ame eleza mkutano wa wanasiasa na viongozi wa jamii za tamaduni mbalimbali kuwa, karibu wanawake wahamiaji na wakimbizi 350,000 wanafanya kazi katika n…
