SBS Swahili - SBS Swahili
Are electric vehicles worth it in Australia?| Fuel in Focus - Australia Yafafanuliwa:Je magari ya umeme yanafaa nchini Australia?| Mafuta Yalengwa artwork

Are electric vehicles worth it in Australia?| Fuel in Focus - Australia Yafafanuliwa:Je magari ya umeme yanafaa nchini Australia?| Mafuta Yalengwa

SBS Swahili - SBS Swahili
07:47
Play episode

Show notes

Electric vehicles are becoming more common on Australian roads as fuel prices remain unstable and more drivers look for cheaper ways to travel. Here's what you need to know if you are thinking about making the switch. - Magari ya umeme (EV) yanazidi kuwa ya kawaida barabarani nchini Australia, wakati bei za mafuta ziki endelea kuto tabirika na madereva wengi zaidi wanatafuta njia za usafiri za bei nafuu. Haya ndiyo unayohitaji kujua kama unafikiria kuanza kutumia gari la umeme.

More from this show

More
  1. What are Indigenous Protected Areas in Australia? - Australia Yafafanuliwa:Maeneo Yaliyolindwa yawatu wa Asili nchini Australia ni yapi?

    National parks, nature reserves, marine sanctuaries and Indigenous Protected Areas protect different environments and operate under different rules. What makes an Indigenous Protec…

    10:55
  2. Taarifa ya Habari:Mageuzi ya sheria kuwasilishwa bungeni,kuweka mipaka ya kisheria kwa silaha za Australia na kuweka vikwazo kwa pesa za umma

    Kifurushi cha mageuzi ya sheria kitawasilishwa katika Bunge la Shirikisho leo, ili kuweka mipaka ya kisheria kwa silaha za Australia na kuweka vikwazo kwa pesa za umma, uwekezaji n…

    15:21
  3. Yaliyojiri Afrika:Kamati itakayo fanyia kazi mchakato wa maridhiano ya kisiasa Zanzibar yazinduliwa

    Rais wa Zanzibar Hussein Mwinyi amezindua Kamati ya Pamoja ya Majadiliano kati ya vyama vya CCM na ACT-Wazalendo, uteuzi huo wa wajumbe 10 unaashiria hatua mpya katika mchakato wa…

    07:34
  4. Prostate cancer in Australia: Testing, treatment and support - Australia Yafafanuliwa:Saratani ya tezi dume nchini Australia: Upimaji, matibabu na usaidizi

    About one in five Australian men will be diagnosed with prostate cancer in their lifetime. Understanding the prostate, your risk and the options for testing can help with early det…

    12:58
  5. Taarifa ya Habari:Serikali ya shirikisho yaendelea kukabiliana na shinikizo lakutangaza msimamo wayo kwa viwango vya uhamiaji nchini

    Serikali ya shirikisho imekuwa chini ya shinikizo la kufafanua malengo yake kuhusu mipaka ya visa, Waziri wa Mambo ya Ndani Tony Burke akiahirisha hotuba ya Klabu ya Kitaifa ya Waa…

    14:00
  6. Makala Leo:Tunachojua kuhusu usalama wakimataifa miaka 25 baada ya tukio la 9/11

    Ni miaka 25 tangu karibu watu 3,000 waliuawa katika mashambulizi ya Septemba 11, ambayo yalisababisha Vita dhidi ya Ugaidi vilivyoongozwa na Marekani na kuiingiza Australia katika…

    12:34
Now Playing
Are electric vehicles worth it in Australia?| Fuel in Focus - Australia Yafafanuliwa:Je magari ya umeme yanafaa nchini Australia?| Mafuta Yalengwa — SBS Swahili - SBS Swahili | Podcast | Josplay Music